Ni kitu gani unaona kinahangaisha watu ila wewe hutumii nguvu nyingi?

Ni kitu gani unaona kinahangaisha watu ila wewe hutumii nguvu nyingi?

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
5,824
Reaction score
14,757
Ciao..!

waswahili wanakwambia maisha hayako na hayatokaa yawe fair.

kuna vitu sisi kama binadamu tunakua na matamanio navyo lakini no matter how hard you try unabakia tu kusema one day yes au unakata tamaa kabisa kwamba kitu fulani mimi hapana.

Mfano huko mashuleni tumesoma na watu wao kuwakuta library au prepo wanajisomea sio pigo zao ni mwendo wa kupiga kelele class na utundu mwingi ila matokea yakitoka unabaki umepigwa butwaa kama mjusi alobanwa na mlango.

Kuna wengine huku mtaani hustle kidogo tu katusua, wewe mpaka usevu vibukubuku ufungue biashara ya uongo na kweli ife uanze tena moja au ukate tamaa kabisa mixer kwenda kwa sangoma lkn wapi.
Kuna wengine wakienda kuomba kazi wanaambiwa utaanza tarehe fulani ila wewe unaambiwa subiri tutakupigia simu na ukifuatilia kwa makini unakuta umewazidi vigezo mbali sana heheh😁

kuna wengine wao suala la kula vizuri, kuvaa vizuri, kulala pazuri au kusafiri sio shida zao yan kama sio wabongo wenzetu vile. ila kuna wenzangu namimi sasa hata kwenda airport tu kufanya booking tunaogopa 😁

mimi binafsi kitu hakinisumbui kwenye haya maisha ni wanawake, sometimes unakuta list inakua ndefu mpaka wengine nawasahau and the good thing ni kuwa situmii hata sumni kuwalaza kunako 6×6.

kukutana na texts za ivi kwenye simu yangu ishakua kawaida af siwazi wala nn tena huwa sijibu.
1000473990.jpg


Vipi wewe ni kitu gani unaona watu wanahangaika nacho ila wewe hakikushughulishi kabisa?
 
Kufanya biashara yoyote huna haja ya kumfuata mteja na kuanza kutoka maelezo Mengi huo ni usumbuku kaa sehemu utakayoonekana mteja interested atakuja mwenyewe
 
Ndugu ulishakunywa konyagi 3 mwenyewe na upo fresh kabisa wakati unaanza na 4 mtu anamaliza bia ya pili anaamka kwenda msalani anaanguka puh hadi unajiuliza kwani ulikua unakunywa yeye akimeza. And for sure limetokea leo hadi nkauliza jamaa kama anaugonjwa kuanguka maana sio kwa myumbo
 
Back
Top Bottom