Naingia lakini rarely sana. Na labda ukute kuna ulazima wa kuingia ndaniunataka kutuambia hujawahi kuingia getto la mtu mkuu!
Duh! mguu wa kuku alikuwa ana pesa huyo mwamba π³ π³Kuna brother fulani ... Ni kama brother! ... Nilimtembelea kwake ... Miaka hiyo sijui kwa Sasa alikuwa anamiliki zile ofisi za kubadilisha fedha kwenye mbuga za utalii.
Anaishi kisela sana huwezi kujua kama na Pesa. Tukiwa pale kwake na wafanya kazi wa dukani
Aliniagiza niende room kwake Kuna mzigo ameacha kwenye meza ... Nikamuuliza ni mzigo Gani? Nenda utaukuta!
Nafika nakutana na bastola wtf !
Nikarudi nikamwambia ndo Ile ? Akasema acha uwoga dogo niletee nataka kutoka ... Huyu jamaa ni mdogo wake na mtu mmoja alikuwa kwenye harakati za Katiba mpya ila alifariki
Kwa namna anavyojiweka sikutegemea Kama angekuwa na mguu wa kuku
Nisiwe mnafiki sijawahi kukuta kitu cha ajabu kwenye getto la mtu lika catch attention yangu. Ila mi nakumbuka kwa upande wangu kuna jamaa niliyesoma naye alikuja getto napokaa , sasa mimi nikamuaga kidogo natoka kwenda dukani ili kuweka mambo sawa ya msosi na vinywaji n.k. sasa niliporudi kwa ghafla ,mwana akawa anapiga picha getto langu kwa simu yake. Nikazuga kama nothing happened ila hili tukio linaniwazisha sana 5 years now mwana alikuwa ana maana gani kufanya vile.Ahaa hapo fresh, kitu gani uliona ukashangazwa mkuu
Very true! Nilikaa kama siku 3 ... Jamaa ana Mali na connection pia, ilikuwa kitambo sana 2014.Duh! mguu wa kuku alikuwa ana pesa huyo mwamba π³ π³
Kuna watu wanalifestyle ambayo huwezi kudhania atakuwa ana miliki kitu fulani, hawa watu ni hatare.
Mwana itakuwa alilikubali akaona getto kali πNisiwe mnafiki sijawahi kukuta kitu cha ajabu kwenye getto la mtu lika catch attention yangu. Ila mi nakumbuka kwa upande wangu kuna jamaa niliyesoma naye alikuja getto napokaa , sasa mimi nikamuaga kidogo natoka kwenda dukani ili kuweka mambo sawa ya msosi na vinywaji n.k. sasa niliporudi kwa ghafla ,mwana akawa anapiga picha getto langu kwa simu yake. Nikazuga kama nothing happened ila hili tukio linaniwazisha sana 5 years now mwana alikuwa ana maana gani kufanya vile.
π€£π€£π€£π€£ Halafu wanakuaga walevi sana watu wa dzaini ya huyo rafiki yako.Niliwahi kwenda ghetto la mwana fulani nikakuta anapikia bunsen burner! Nilipigwa butwaa kucheki pembeni kitandani ametandika shuka la msd.
Cc: Al-mukheef | Joanah | Mshangazi dot com | Intelligent businessman | mshamba_hachekwi | Half american | Mallerina | makutopora | To yeye | cocastic | Numbisa | Tajiri Sinabay | Thecoder | Davidmmarista | Cassnzoba | mzabzab | Atoto | Madame B | Evelyn Salt | Eli Cohen | Mwachiluwi | Kapeace | new gal | Qashy Lilith | realMamy | Midekoo | min -me
Hahaha[emoji1787]Very true! Nilikaa kama siku 3 ... Jamaa ana Mali na connection pia, ilikuwa kitambo sana 2014.
Jamaa alikuwa na ukwasi ila life style Yale ya ajabu sana afu mtu wa watu
..
Aliniweka chini nakunipa darasa la Maisha ila kwa kipindi kile Sasa viningia huku na kutoka huku
For those years ... Hiyo Pesa ningeleweaaaa πHahaha[emoji1787]
Dah! Angekupa maokoto make ushauri ndio huo uliyeyuka.