Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mi niliingia kwenye gheto la mwamba nikakuta anachoma mahindi kwa kutumia mshumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiNiliwahi kwenda ghetto la mwana fulani nikakuta anapikia bunsen burner! Nilipigwa butwaa kucheki pembeni kitandani ametandika shuka la msd.
Cc: Al-mukheef | Joanah | Mshangazi dot com | Intelligent businessman | mshamba_hachekwi | Half american | Mallerina | makutopora | To yeye | cocastic | Numbisa | Tajiri Sinabay | Thecoder | Davidmmarista | Cassnzoba | mzabzab | Atoto | Madame B | Evelyn Salt | Eli Cohen | Mwachiluwi | Kapeace | new gal | Qashy Lilith | realMamy | Midekoo | min -me
Kuna mtu nilienda kumtembelea nilishuhudia nyumbani kwake anatumia Glass za plastic za wine 😛😝mamy leta hicho kisa sasa
🙂 🙂 🙂
mamy leta hicho kisa sasa
🙂 🙂 🙂
duh! Garage ya chumbani hio!nilienda kumsalimia mamdogo hapo kigogo, mumewe ni fundi garage sasa siku hiyo alisema ana udhuru atachelewa kurudi tukaenda kurundikana chumbani kwa huyo mama mm na wanawe,
nikaangusha nguo ikabidi niiname niokote macho yakatua uvunguni aisee utasema stoo, uvungu umejaa jeki skui like mnaita rim mi spana na minnati ya kumwaga dishi ndani limejaa plugs kuuliza nilishindwa mpaka nimeondoka kaniachia maswali kibao, had leo sidhan anajua kama niliona vile vitu kule uvunguni yani hata nyoka ageingia agejichimbia freeesha akaanzisha na familia kabisa.
Inashangaza kiukweli! enzi hizo hamna mitandao ya kijamii.Nikiwa mdogo Mwaka 1991 niliingia kwenye geto la braza angu Mmoja hivi,.. Sasa kule Kijijini mageto ya vijana walikuwa wanapamba sana na magazeti... Yaani geto Zima unakuta limepambwa na magazeti... Sasa kwenye Ile geto braza naye alikuwa amepamba magazeti,... Mojawapo ya gazeti lilikuwa na picha ya wachezaji wa Simba Sports Club, mojawapo wa wachezaji namkumbuka alikuwa Method Mogella...Baada ya kuona Ile picha,.. nikaipendaga timu ya Simba mpaka Leo na nikajikuta nimekuwa shabiki wake moja kwa Moja...
Inashangaza.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nliwahi ingia getho la kamanda mmoja mjeda mtu mzima halafu yuko single aisee nlishangaa kukuta masufuria juu ya kitanda na pia vyombo vichafu vina kama wiki mbili sufuria moja la ugali lina maji yametengeneza povu hilo mpaka nkamuuliza umejifunza lini kutengeneza libeneke.nlijua pombe ya kienyeji kumbe kaloweka nfugo ya ugali
Kabisa mkuu... Ilikuwa mwendo wa magazeti na redio😄😄Inashangaza kiukweli! enzi hizo hamna mitandao ya kijamii.
Anzisha kesho asubui au mchanaSawa C.E.O na Rais wa majobless Hon. Intelligent businessman
Hata me naona wakuu wanafunguka mambo mazito na kwa urefu na mapana kama kipindi cha mwanzo wa JF.