Kitu gani ulikikuta kwenye nyumba au ghetto kikakushangaza sana?

Kitu gani ulikikuta kwenye nyumba au ghetto kikakushangaza sana?

Niliwahi kwenda ghetto la mwana fulani nikakuta anapikia bunsen burner! Nilipigwa butwaa kucheki pembeni kitandani ametandika shuka la msd.

Cc: Al-mukheef | Joanah | Mshangazi dot com | Intelligent businessman | mshamba_hachekwi | Half american | Mallerina | makutopora | To yeye | cocastic | Numbisa | Tajiri Sinabay | Thecoder | Davidmmarista | Cassnzoba | mzabzab | Atoto | Madame B | Evelyn Salt | Eli Cohen | Mwachiluwi | Kapeace | new gal | Qashy Lilith | realMamy | Midekoo | min -me
Shuka la msd 😂
 
nilienda kwenye geto la mshikaji wangu mmoja kumdai,

nikakuta amesonga ugali wake vizuri, na nyanya(ameunga nyanya moja na kitunguu tu)

nikachoka hata nguvu ya kumdai nikakosa.
 
Back
Top Bottom