Kitu gani ulikikuta kwenye nyumba au ghetto kikakushangaza sana?

Kitu gani ulikikuta kwenye nyumba au ghetto kikakushangaza sana?

Kwa mara ya kwanza nilienda kumtembelea mtu nikakuta anakaa kwenye chumba kimoja nilishangaa Watu wanawezaje kuishi hivyo

Yaani humohumo jiko kitanda kochi na makorokoro kibao.. halafu chumba ni kidogo mno

Sema watu wa Dar noma sana
noma sana tena wapo wenye familia kabisa inapigwa tu pazia katikati huku wanalala watoto kule wanalala wazazi.
 
Mimi swala la betri dirishani tena nyingi, kuchomeka miswaki kwenye nondo za dirisha kama imesimama na mapazia yenye mueonekano wa mashuka kama plastic, na shuka lenye ua limeshonesha limetokezea linanishangaza mpaka leo.
 
hahahaha [emoji1787]
Uswazi nyumba nyingi zipo hivo.
Niliwahi kuona pazia la kitenge limeandikwa
UTAKAYOYAONA HUMU YAACHE HUMUHUMU
 
ni type ya wale wana tuliwakuta skuli, wanatuma madogo

"oy dogo chukua hii mia leta chapati 5 na chai na chenj irudi, niangalie vizuri hii sura ole wako ukimbie au useme kwa ticha"
[emoji1787]
 
Back
Top Bottom