Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa Hupai kazi au Nafasi ina wenyewe
Mfano, kuna Sehemu niliwahi kuitwa kwenye usaili, nafasi za kazi zilitangazwa 3 ila kufika tu kukawa na kundi kubwa la watu na pia kuna watu ambao walikuwa wanafanya kazi hapo, wakaja kuungana na sisi wageni nao wakafanya usaili kwa nafasi hiyo hiyo hapo hapo nikajua tu hawa wanatimiza wajibu ila nafasi tayari zishajazwa na watu wapo kazini.
Je, wewe ulikutana na nini ambacho kilikukatisha tamaa ya kupata kazi licha ya kushiriki Usail?