Kuna jamaa humu aliwahi andika kwamba jitahidi sana kutofanya internship kwenye kampuni ambayo unatamani uje kuajiriwa,jamaa aligusia kwamba unavyojitolea bila malipo au kwa malipo madogo ndipo unapozidi kushusha thamani yako na pia wale waajiri wanatambua kuwa ukipewa mkataba au ajira utaridhika sanaKufanya interview na wahusika wa hapohapo sio issue sometimes. Mimi niliwahi pata kazi mahali nafasi zilikuwa mbili. Tuliopata wote tulikuwa wageni.
Wakati nimezoea mazingira nikaja gundua kwamba jamaa wawili waliokuwa wamefanya internship for 2years kwa position hiyo hiyo walikosa hiyo kazi.
And guess what!!! Hao jamaa ndio waliokuwa wanatufundisha abc za kazi kwa wiki mbili za mwanzo.
Daaaaahhhhh!! Kmmk!Iliwahi kunitokea siku nasubiria kuingia kwenye interview nimekaa na Dem mmoja kisu balaa, nayeye anasubiri.
Sasa yule demu kila saa anaongea na simu kulalamikia bebi ake kwamba anachelewa kama hawezi kumuwahisha yeye aondoke. Jamaa nikawa namsikia kwambali anamjibu yule ngoja amkumbushe hr kwamba eti yule manzi amekaa sana.
YUle manzi Mimi alinikuta na ilikuwa nianze Mimi halafu ndiye yeye. Kidogo candidate alikuwa anafanyiwa interview akawa amemaliza, Mimi nikaanza kujiandaa kuingia. Mara nasikia yule hr anamuuluza yule manzi wewe ndio Fulani? Manzi akajibu yes it's me. Yule hr akamwbia samahani tumekuweka sana, basi karibu ndani hatutatumia mda mrefu sana.
Yule demu akainuka kwa nyodo na kuzama kwa interview, hakumaliza hata dk 15 akawa ametoka Tena nyodo kubwa.
Aisee nilimind vibaya mno, na kwa kujua pale Sina changu nikasema Wacha nikawachachafye humo ndani.
Nilipoingia baada ya intro na nini nikamuuliza yule hr, kaka vipi mbona uliniruka wakati yule msichana aliingia zamu yangu. Ile interview ilikuwa na panelists wawili yule hr wa kiume na mdada wa makamo ambae ndio alikuwa in charge wa department husika. Basi yule hr akamwambia yule mdada, hebu mweke wazi huyu bwamdogo maana anaonekana ana guts za kubeba uhalisoa.
Bila kupepesaacho yule akaniambia, mdogo angu karibu kwenye uhalisoa wa kazi ila baadhi ya nafasi zinakuwa tayari zimeshajazwa. Kwahiyo wewe elewa hivyo tuu.
Nikawauliza tuu naweza kuondoka na haya maji? Yale anayowekewa msailiwa anywe akitaka. Yule hr akaniambia unaweza kuondoka nayo tukimaliza interview Haina shida. Nikawaambia jamani nashkuru sana Mimi nimeshamaliza.
Wakati natoka nje wakanifata wote kunibembeleza nifante tuu interview may be itanipa uzoefu. Nikagoma, nikasepa zangu.
Hahaha una misimamo mizuri sna mkuuIliwahi kunitokea siku nasubiria kuingia kwenye interview nimekaa na Dem mmoja kisu balaa, nayeye anasubiri.

Misimamo kama ya KHEMENEI ama ALDOF HITLER AMA IDD AMIN DADA WA UGANDA..Hahaha una misimamo mizuri sna mkuu
Yeah kwa sababu nilishajua pale job ashapata mwenye yake interview alishanyishwa kitandaniHahaha una misimamo mizuri sna mkuu
Hawa mbuzi kwenye hizo taasisi ukiwa na misimamo wanawaza kinouma, ila ukiwa mnyonge wanamaringo uchwara kinoumaMisimamo kama ya KHEMENEI ama ALDOF HITLER AMA IDD AMIN DADA WA UGANDA..
Nchi inahitaji kunyooshwa huo ujinga wa connection za kipumbavu uisheYeah kwa sababu nilishajua pale job ashapata mwenye yake interview alishanyishwa kitandani
Mimi Huwa na shida moja Huwa siwezi kuwa CHAWA.Hawa mbuzi kwenye hizo taasisi ukiwa na misimamo wanawaza kinouma, ila ukiwa mnyonge wanamaringo uchwara kinouma
Hii nzuri sana mkuuMimi Huwa na shida moja Huwa siwezi kuwa CHAWA.
Niliwai kua karibu na familia (mama) ambae mwanae kiongozi wa juu enzi za JPM na mpaka Sasa ni waziri..
Nilikua naifanya KAZI yangu baba mzazi na mama mzazi wa huyo kiongozi walinipenda sana sana now tumepotezana miaka zaidi ya kumi Sasa.. sikuwai kujikomba Wala kujipendekeza ili nipate favor au fadhila..
Mimi kwanza Nina nidhamu sana na Huwa sibabaishwi na mtu / huwezi nipelekesha/ silambagi miguu ya mtu hata viongozii sehemu mbali mbali nilizo/ nazo fanyaga KAZI Huwa wanajuaga HUWA SIMUOGOPI MTU.
Mimi nikipewa kitengo cha uchawa mbona ntafukuzwa mapema sanaa maana siwezagi kutakatisha KANIKI IWE NYEUPE WAKATI RANGI YA KANIKI INAJULIKANA..Hii nzuri sana mkuu
AiseeKufanya interview na wahusika wa hapohapo sio issue sometimes. Mimi niliwahi pata kazi mahali nafasi zilikuwa mbili. Tuliopata wote tulikuwa wageni.
Wakati nimezoea mazingira nikaja gundua kwamba jamaa wawili waliokuwa wamefanya internship for 2years kwa position hiyo hiyo walikosa hiyo kazi.
And guess what!!! Hao jamaa ndio waliokuwa wanatufundisha abc za kazi kwa wiki mbili za mwanzo.
Mfumo wa internship bongo ni wa kinyonyaji. Kwa nchi za wenzetu ni ngumu kupata internships kama sio mwanafunzi.Kuna jamaa humu aliwahi andika kwamba jitahidi sana kutofanya internship kwenye kampuni ambayo unatamani uje kuajiriwa,jamaa aligusia kwamba unavyojitolea bila malipo au kwa malipo madogo ndipo unapozidi kushusha thamani yako na pia wale waajiri wanatambua kuwa ukipewa mkataba au ajira utaridhika sana
Nimeeanza kumuelewa saizi uyo jamaa