Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Na ulipofika..?!😅Niliulizwa swali moja la kijinga basi nami nilijibu ujinga mbele ya jopo la waheshimiwa mpaka mkurugenzi wa taasisi hiyo akasema haa!
Kuja kuuliza wale wazee mule ndani ni kina nani?
Nilivyopewa taarifa/nyadhifa zao nikaenda zangu kulala kwa kujua tayari nishaliwa manyoya.
Wiki mbili mbele napokea simu ya wito. Nikasema naenda kushtakiwa.
😄😄😄 So ukupata?Niliulizwa swali moja la kijinga basi nami nilijibu ujinga mbele ya jopo la waheshimiwa mpaka mkurugenzi wa taasisi hiyo akasema haa!
Kuja kuuliza wale wazee mule ndani ni kina nani?
Nilivyopewa taarifa/nyadhifa zao nikaenda zangu kulala kwa kujua tayari nishaliwa manyoya.
Wiki mbili mbele napokea simu ya wito. Nikasema naenda kushtakiwa.
😁😁😁 Ikawaje sasa mkuuNiliulizwa swali moja la kijinga basi nami nilijibu ujinga mbele ya jopo la waheshimiwa mpaka mkurugenzi wa taasisi hiyo akasema haa!
Kuja kuuliza wale wazee mule ndani ni kina nani?
Nilivyopewa taarifa/nyadhifa zao nikaenda zangu kulala kwa kujua tayari nishaliwa manyoya.
Wiki mbili mbele napokea simu ya wito. Nikasema naenda kushtakiwa.
Walimuita boss wao..Na ulipofika..?!😅
Nashukuru nilipata ila walinisurubu kidogo nijenge heshima kwa yule boss na jopo lake.😄😄😄 So ukupata?
Ilinitesa ile ila nashukuru nilifanikiwa kufanya kazi pale😁😁😁 Ikawaje sasa mkuu
Jamaa wa NIT wana maneno machafu.Kazi ya udereva. Ikaja test kurudisha gari kinyume nyume usigonge beacon.
Jama wawili walizigonga nikajua washaliwa kichwa. Ila kwenye interview ya pili nikawaona.
Ilitakiwa wakupatie hiyo kazi weweWaliniuliza,
"Kwanini unatafuta kazi kwenye kampuni yetu?"
Nikawajibu "Mimi au nyinyi? Nyie si ndio mmetoa tangazo kua mnataka wafanyakazi?"
Ndio iliwai kunitokea hali ya kuitwa kweny usahili nikajibu maswal Kwa ufasaha kabisa,baada ya mda niliambiwa nitapewa majibu ila sikupigiwa simu,nikaamua kumtafta HR akaniambia subiri sikukata tamaa,sikupewa jibu ikanibidi niende Moja Kwa moja ofisini ndio wakanambia nimeshinda interview nenda tutakuita,nikaenda nasubiri sikuitwa ikanibidi nipige simu majibu yakawa yaleyale, Mimi huyo sasa nikaamua kuchukua mkataba wa general activities kweny hiyo kampuni ili nipate hiyo fursa ase nilifanikiwaUlishawahi kuona yale Mazingira ya kushindwa jambo au kukosa fursa kabla hata hujaipata, basi kuna wakati unaweza kujikuta umefeli Interview hata kabla ya kupewa Majibu na Kampuni husika
Umeshawahi kupatwa na hali hii? Nini kilitokea?
hahahahMwaka 2003 niiitwa interview ya taasisi ya kuzuia rushwa (PCB). Nikasafiri toka mkoani, kufika pale maswali mawili niliyoulizwa nikajua nimeyakosa pale pale ukiacha mengine niliyokuwa nikibahatisha bahatisha.
Swali la 1 lilikuwa niseme ni tukio gani kubwa lilitokea mwaka 1922 na likapelekea kubadilisha mustakabali mzima wa historia ya nchi yetu, nikajibu ni kuasisiwa kwa Tanganyika African Association (TAA) kumbe ilikuwa ni kuzaliwa kwa Mwl J. K. Nyerere
Swali la 2 ilitakiwa nieleze ugonjwa wa anthrax, nikajichanganya nikawaambia unatokana na mashambulizi ya mabomu huko mashariki ya kati.