Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kwani Leo Kitu Gani Kinachoendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mahanjumati ukala mwenyewee[emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha valentine ya mwaka 2020, Nilijitutumua nikamuandikia ujumbe babe nikamuandalia dinner.
Kilichotokea dinner asiile, kwenye simu yake amemuwish babe wake alafu akamchunia, mimi io siku nikaninuniwa.
Nikapigwa na kitu kizito kichwani
Ni sikukuu ya wasaniiKwani Leo Kitu Gani Kinachoendelea?
Jitahidi huu Mwaka upate Mnyonge wako Mwakani akufanyie maana hii ishakupita[emoji23][emoji23]Sijawahi kwakweli.
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23]Ni sikukuu ya wasanii
Watu kama Nyie ndio mnatakiwa kupewa kesi za Ugaidi[emoji23][emoji23]Kwani Leo Kitu Gani Kinachoendelea?
Hakuna aliyekuwa na true love kama mmNyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo ya valentine kwanza yameletwa na ccm
Kati ya watakao futwa machozi na mimi nimo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Acha tu.Na mahanjumati ukala mwenyewee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dunia haiko serious kama sisi tunavyotaka kuichukulia serious kwenye ishu za mahaba
Ningekimwaga...kinashukaje sasa kooni?Acha tu.
Mapenzi nayo ni janga lingine tu.
Sasa kwani kuna mwanaume mmoja Duniani si utafte Chaka Jingine?[emoji23][emoji23]Nimenuniwa
Wanaume wengine bana
Na hii ndio hua chanzo cha mapenzi mengi kuharibika na mtu kuanza kutokua na mapenzi ya kweli pale anapokuja kufahamu ukweli wa mamboHakuna aliyekuwa na true love kama mm
Sema nkaja gundua kwamba duniani kumejaa wasanii na watu hawako serious kiviiilee linapokuja swala la mapenzi
So na mm sku hizi walaaaa sipo serious kiviiileee
Bwana ndio kimbilio lako[emoji23]Kati ya watakao futwa machozi na mimi nimo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndo hvoNa hii ndio hua chanzo cha mapenzi mengi kuharibika na mtu kuanza kutokua na mapenzi ya kweli pale anapokuja kufahamu ukweli wa mambo
Sasa kwani kuna mwanaume mmoja Duniani si utafte Chaka Jingine?[emoji23][emoji23]
Japo inauma ila malizia tu mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]
Umechaguliwa aaahhh