Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

Screenshot_20260325-090807 (1).jpg
 
Nilivosikia kwa wanaume walioko kwenye ndoa kuwa huwa hawapewi kila siku nilibosha na sikuamini na hadi sasa najua kuwa kila aliyeoa huwa anasusiwa kila siku
Bado sijaamini hii kitu maana sijaoa bado itabidi nioe nijue hii kitu kama ni kweli
 
Kwa mara ya kwanza niliposikia diamond ana date na zari sikuamini, nilikua naona haiwezekani kabisaaaa.

Kwa habari nilizokuwa nazo kuhusu zari, nilikua namuweka daraja la juu sana, na kule kujiita boss lady, kuolewa na bilionea wa Uganda, plus age yake nilikua naona haiwezekani kwa namna yoyote Zari ku date na diamond.

Nilipokuja kuthibitisha nilishikwa na heart burn
 
Nilivosikia kwa wanaume walioko kwenye ndoa kuwa huwa hawapewi kila siku nilibosha na sikuamini na hadi sasa najua kuwa kila aliyeoa huwa anasusiwa kila siku
Nilisikia huwa unaliwa, nikabisha, mpaka siku nilipo shuhudia umemuinamia baunsa wa kitambaa cheupe ukikatika kama ANKO t
 
Back
Top Bottom