Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

Kwamba secretarybird na mbaga et ni wanyetuaji baado siamini labda waweke uthibitisho
Mean picha au shot clip
Nilianza kunyetuka na baba yake Mbaga Jr, kisha tukamfundisha Jr wetu na sasa naye ni mnyetukaji tukuka kabisa.

Somo unaloweza kujifunza hapa ni kwamba mbwa mdogo hujifunza tricks haraka kuliko mbwa Mzee. Ona sasa Mbaga Jr alivyowamoto katika nyeto.
 
Hivi wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wallah umeshindikana
Una vyo andika kwa ustadi lol πŸ˜†
Utadhanj jambo la maanaπŸ™Œ
 
Sitosahau ile siku Dingi ananiadithia siku niliyopiga nyeto nikiwa bado tumboni kwa bimkubwa mana alitapika na dingi kwenda kuchek akakutana Na bao.

Hapo ndipo dingi akajua jembe linakuja.

ShesRise_1
 
Ko na uzee wako wote huo bado haujaoa tu? Na kama umeoa inakuwaje bado unapiga nyeto
 
Niliambiwa paka ana roho saba sikuamini kuna paka akawa anaiba msosi nikampiga haswa nikamtupa jioni naskia meow dah sema nilimdaka tena kipigo hasa, akafa alikula vifaranga 10
 
Sitosahau ile siku Dingi ananiadithia siku niliyopiga nyeto nikiwa bado tumboni kwa bimkubwa mana alitapika na dingi kwenda kuchek akakutana Na bao.

Hapo ndipo dingi akajua jembe linakuja.

ShesRise_1
Siku ile Mimi na Dingi yako ndo tulijua kuwa mtoto ajaye atakuwa wa kiume, kilichofanya tujue hilo ni lile bao lako ulilolirusha ungali tumboni mwa Maza.
 
Heart burn kisa Maisha YA watu, Wabongo bhana πŸ˜‚

Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu wasiojua hata kama upo duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…