Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Hya kituko kingine..niendelee kucheka maaana naona wakuu wamellala
Kuna mzee mmoja (True story)
Alikua anapiga adhanaa msikitini alaaaahuuuuu akbaaaaaarr wakati anapiga adhanaa akapita mtu anayemdai hela. Yule mzee akaitaa Raaaashidi (mjukuu wake) njoo umalizie adhanaaa nimemuona yule mtu ninayemdai buku yangu
 
Mzee huyo huyo aliyeahirisha adhanaa..
Siku moja kuna mwizi aliiba matango kwenye bustani ya mtoto wake wakamkamata sasa wakamsubiria huyu mzee nae afike amuone mwizi. Alipofika akaanza kumuhoji mwizi..
Hivi wewe kwanini umeiba madodoki?
mwanae akamwambia baba sio madodoki ni matango mzee akasemaa anhaaaaaaa kumbe ni matango sio, akamuuliza tena hivi wewe ulikua na njaa gani hadi unaiba madodoki mwanae akamwambia baba ni matango siio madodoki.
Hali iliendelea hivo mzee yeye anajua mwizi kaiba madodoki ale
 
Kuna mzee mmoja (True story)
Alikua anapiga adhanaa msikitini alaaaahuuuuu akbaaaaaarr wakati anapiga adhanaa akapita mtu anayemdai hela. Yule mzee akaitaa Raaaashidi (mjukuu wake) njoo umalizie adhanaaa nimemuona yule mtu ninayemdai buku yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wat wanamabalaa
 
Niko tifauti kidogo. Nikiona hili jambo ni la kudharirisha sicheki ingwa nilitakiwa instantly. Mfano alikuja mgeni wale wa kutoka kijijini kbsaa akataka awekewe radio one ktk TV. Hapo tuko sebuleni tumejaa watu wakacheka sana isipikuwa mimi.
 
Ahahahahahah watu wnaa maneno sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda kule baharini hayapo maharagwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahhahaha huna aibu kama mimi nikitaka kitu naomba kuongezewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…