Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
🤣🤣🤣🤣🤣akili zako unazijua mwenyewe wallahMm jinga sana aisee. Hua nacheka kwenye matukio siriaz.
Hasa kanisani wakati wa matangazo watu wanaongea errors kishenzi.
Eti samahani mwenyekiti "Nina jambo mboja kesho nitacherewa kido, maana niko bide....