Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Hya kituko kingine..niendelee kucheka maaana naona wakuu wamellala
Kuna mzee mmoja (True story)
Alikua anapiga adhanaa msikitini alaaaahuuuuu akbaaaaaarr wakati anapiga adhanaa akapita mtu anayemdai hela. Yule mzee akaitaa Raaaashidi (mjukuu wake) njoo umalizie adhanaaa nimemuona yule mtu ninayemdai buku yangu
 
Mzee huyo huyo aliyeahirisha adhanaa..
Siku moja kuna mwizi aliiba matango kwenye bustani ya mtoto wake wakamkamata sasa wakamsubiria huyu mzee nae afike amuone mwizi. Alipofika akaanza kumuhoji mwizi..
Hivi wewe kwanini umeiba madodoki?
mwanae akamwambia baba sio madodoki ni matango mzee akasemaa anhaaaaaaa kumbe ni matango sio, akamuuliza tena hivi wewe ulikua na njaa gani hadi unaiba madodoki mwanae akamwambia baba ni matango siio madodoki.
Hali iliendelea hivo mzee yeye anajua mwizi kaiba madodoki ale
 
Kuna mzee mmoja (True story)
Alikua anapiga adhanaa msikitini alaaaahuuuuu akbaaaaaarr wakati anapiga adhanaa akapita mtu anayemdai hela. Yule mzee akaitaa Raaaashidi (mjukuu wake) njoo umalizie adhanaaa nimemuona yule mtu ninayemdai buku yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wat wanamabalaa
 
Niko tifauti kidogo. Nikiona hili jambo ni la kudharirisha sicheki ingwa nilitakiwa instantly. Mfano alikuja mgeni wale wa kutoka kijijini kbsaa akataka awekewe radio one ktk TV. Hapo tuko sebuleni tumejaa watu wakacheka sana isipikuwa mimi.
 
Jamaa flani alikuwa anakata gogo kwenye shamba la mtu,
Mara paa mwenye shamba akamfuma akaulizwa

"we kwanini unakunya hapo?"
Jamaa bila kujali kosa lake huku akiendelea kushusha mzigo akajibu

"kwanini wewe unakunya chooni"

Basi tulicheka sana siku hiyo mana mwenye shamba akabaki kazubaa sisi na jamaa haooo tukasepa na safar yetu
Ahahahahahah watu wnaa maneno sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.

Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda kule baharini hayapo maharagwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mie mwanzo nilivyopanda ndege,imefika wakati wa msosi tukapewa wote,Becky alivyo mshamba nikala haraka haraka nilivyomaliza nikamsimamisha muhudumu wa ndege nataka nyongeza ya chakula hahahaaa Mhudumu akaniambie nimpe dakika mbili atarudi..sikumuona tena,naona aliona huyu mluga typical hahaaaaaaaa...nikikumbuka nacheka sana 😀😀😀😀,
Ahahahhahaha huna aibu kama mimi nikitaka kitu naomba kuongezewa tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom