Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
Motto wa mazoezi ni " the more you pain, the more you gain" siku baada ya siku utajishangaa tu umebadilika. Haya mazoezi ya ngumi! Unabadilika tu, yaani unajishangaa tu umeshabadilika, huchekicheki hovyo.

Kuvumulia maumivu si kitu kidogo.
 
Bhana sikia hii eti kuna jamaa alikuwa ansafiri sasa kufika stend ya mkoa mwingine nje na pale alipoanzia safaria akahisi njaa

Ikabidi aagize chips mayai sasa kwa haraka gari lilikuwa linaondoka badala ya kuweka tomato jamaa akaweka chill akijua ndo tomato na aliijaza kwa uroho kweli pasina kujua kuwa ni chill

Kwa gari tulibaki tunacheka kweli maana hata hakuila kile chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…