Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Motto wa mazoezi ni " the more you pain, the more you gain" siku baada ya siku utajishangaa tu umebadilika. Haya mazoezi ya ngumi! Unabadilika tu, yaani unajishangaa tu umeshabadilika, huchekicheki hovyo.
50 mwehu yule 😂😂😂 mchokozi sana yule jamaa...Ile ya ulaya weweeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namfatiliaga 50 cent ana vituko sana
Yaan ana manenoo,ni mchokoziii huwa ananichekesha sana50 mwehu yule [emoji23][emoji23][emoji23] mchokozi sana yule jamaa...
kila siku ana bifu jipya...
ulionaga zile post za 50 anamzingua jay z kwa kuvaa helment akiwa baharini [emoji23][emoji23][emoji23]
na msemo wake mkuu Get The Strap 😂😂
Tukiwa faragha wawili nitakuchesha zaidi laaziz.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwa faragha wawili nitakuchesha zaidi laaziz.
Lile libongo kabisana msemo wake mkuu Get The Strap [emoji23][emoji23]
Kwachee bwana on the street mwenyewe nikikumbuka huwa nacheka sana aiseeKwny kipindi cha jamaa anaitwa kuchere nadhani wa ETV jamaa alimuuliza mpita njia neno MUBASHARA maana yake ni nini?
Mchizi akajibu ni"KAMA CHAKULA FLANI KITAMU KITAMU HIVI",hahah
😂😂😂😂
Kweli mkuuMotto wa mazoezi ni " the more you pain, the more you gain" siku baada ya siku utajishangaa tu umebadilika. Haya mazoezi ya ngumi! Unabadilika tu, yaani unajishangaa tu umeshabadilika, huchekicheki hovyo.
Kuvumulia maumivu si kitu kidogo.
Utani na mzigua upo pale pale, unamwitaje msukuma mshamba, msukuma huhitaji kuelewa na kujua Mambo zaidi na siyo mshamba
Utani na mzigua upo pale pale, unamwitaje msukuma mshamba, msukuma huhitaji kuelewa na kujua Mambo zaidi na siyo mshamba