Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yes ni kitu gani au kituko kipi uliwahi shuhudia ukacheka mpaka ukajishangaa na hata ukikaa mwenyewe unacheka,,unajua kucheka ni furaha ya ajabu ,mfano umekaa sehemu ukaona kitu kinachekesha ukacheka pia unakuta umekaa na mtu au watu kikatokea kitu au mtu akaongea mambo ya ajabu ukashindwa jizuia kucjeka ukaachia cheko hilo .
Mimi siwezi jizuia kucheka tena naachia cheko la haja la kushiba sicheki nusuu nusu mie[emoji23][emoji23]
Tusimuliane vituko vya hapa na pale
Siku moja rafiki angu mmoja hivi akaniuliza hivi nini maana ya advocate,nikamuuliza na mimi kwani yeye anajua au anahisi ni nini? Akanijibu huwa anahisi advocate ni limnyama likubwaa sana aisee nilicheka sanaa sanaaa
Mama G
Sent using Jamii Forums mobile app