Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Kitu gani uliwahi ona au kushuhudia ukacheka sana?

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Yes ni kitu gani au kituko kipi uliwahi shuhudia ukacheka mpaka ukajishangaa na hata ukikaa mwenyewe unacheka,,unajua kucheka ni furaha ya ajabu ,mfano umekaa sehemu ukaona kitu kinachekesha ukacheka pia unakuta umekaa na mtu au watu kikatokea kitu au mtu akaongea mambo ya ajabu ukashindwa jizuia kucjeka ukaachia cheko hilo .

Mimi siwezi jizuia kucheka tena naachia cheko la haja la kushiba sicheki nusuu nusu mie[emoji23][emoji23]
Tusimuliane vituko vya hapa na pale

Siku moja rafiki angu mmoja hivi akaniuliza hivi nini maana ya advocate,nikamuuliza na mimi kwani yeye anajua au anahisi ni nini? Akanijibu huwa anahisi advocate ni limnyama likubwaa sana aisee nilicheka sanaa sanaaa

Mama G

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa flani alikuwa anakata gogo kwenye shamba la mtu,
Mara paa mwenye shamba akamfuma akaulizwa

"we kwanini unakunya hapo?"
Jamaa bila kujali kosa lake huku akiendelea kushusha mzigo akajibu

"kwanini wewe unakunya chooni"

Basi tulicheka sana siku hiyo mana mwenye shamba akabaki kazubaa sisi na jamaa haooo tukasepa na safar yetu
 
Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.

Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.
 
Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.

Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamisa maharage.
😀😀😀😀😀😀chezea maharage
 
mie mwanzo nilivyopanda ndege,imefika wakati wa msosi tukapewa wote,Becky alivyo mshamba nikala haraka haraka nilivyomaliza nikamsimamisha muhudumu wa ndege nataka nyongeza ya chakula hahahaaa Mhudumu akaniambie nimpe dakika mbili atarudi..sikumuona tena,naona aliona huyu mluga typical hahaaaaaaaa...nikikumbuka nacheka sana 😀😀😀😀,
 
Yes ni kitu gani au kituko kipi uliwahi shuhudia ukacheka mpaka ukajishangaa na hata ukikaa mwenyewe unacheka,,unajua kucheka ni furaha ya ajabu ,mfano umekaa sehemu ukaona kitu kinachekesha ukacheka pia unakuta umekaa na mtu au watu kikatokea kitu au mtu akaongea mambo ya ajabu ukashindwa jizuia kucjeka ukaachia cheko hilo .

Mimi siwezi jizuia kucheka tena naachia cheko la haja la kushiba sicheki nusuu nusu mie[emoji23][emoji23]
Tusimuliane vituko vya hapa na pale

Siku moja rafiki angu mmoja hivi akaniuliza hivi nini maana ya advocate,nikamuuliza na mimi kwani yeye anajua au anahisi ni nini? Akanijibu huwa anahisi advocate ni limnyama likubwaa sana aisee nilicheka sanaa sanaaa

Mama G

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilicheka sana juzi kati wakati Mama Sabrina akiwapa watu vipande vyao kisa wana mhisi anatumia ID ya....
 
Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.

Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.

😀😀😀😀
 
Axee kun day nimeenda mgodin kuchek mali za ding nikapewa nisimamie wakat wanaosh mchang

Palikuwepo na mzee mmoja alikuwa rafik yang na pale jiran palikuwepo bhaa mzenz akaja wamama wazur kunywa Yule mzee akaniomb nimtoe ela na mm nikamtoa Mara paa mam mzur mwenyew akili zake akanunuliwa beer moja na Yule mzee kilichofuat Yule mzee akamuomb mzigo Yule Mama na Mama akamwambia nyonya kwanza tit na mm nitanyonya pennies yako mzee akanyonya nakula mzigo.
Kilichonichekesh Yule mzee ananiambia kwamb yey aliwah lala mtu mwenyew HIV lkn HIV haiuwwazee na akaniambia tang awepo na miak yake sabin hajawah kunyonywa kitu yake bac wag nikikumbuk nacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Axee kun day nimeenda mgodin kuchek mali za ding nikapewa nisimamie wakat wanaosh mchang

Palikuwepo na mzee mmoja alikuwa rafik yang na pale jiran kulikuwepo bhaa mshenz
akaja wamama wazur kunywa Yule mzee akaniomb nimtoe ela na mm nikamtoa Mara paa
mam mzur mwenyew akili zake akanunuliwa beer moja na Yule mzee kilichofuat Yule mzee akamuomb mzigo Yule Mama alianz anazngua uku na mm namtaman lkn then akakubal
Mama akamwambia nyonya kwanza tit na mm nitanyonya pennies yako mzee akanyonya nakula mzigo.

Kilichonichekesh Yule mzee ananiambia kwamb yey aliwah lala mtu mwenyew HIV lkn HIV hawez kuiigua coz ni mzee na akaniambia tang awepo na miak yake sabin hajawah kunyonywa kitu yake bac wag nikikumbuk nacheka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuzi niko Safarini kwenye basi wakaweka Movie ya Bongo Mavi ilikuwa movie moja ya Hemedy inaitwa Figisu Figisu.

Kwenye ile movie kulikuwa na Jini ambaye ni mtoto na alikaa na Hemedy sana sasa siku anamuaga kurudi Baharini akasema "Mimi naondoka ila nitamiss sana Maharage" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilicheka kusikia jini linamiss maharage.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm jinga sana aisee. Hua nacheka kwenye matukio siriaz.
Hasa kanisani wakati wa matangazo watu wanaongea errors kishenzi.

Eti samahani mwenyekiti "Nina jambo mboja kesho nitacherewa kido, maana niko bide....
 
Back
Top Bottom