Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

utoto.. jana tu nimemng'ata king'asti wangu pua ye akakimbilia kutaka kunibinya korodani!,nikamkweka akawa amenikosa akaniacha.

usiku nimelala nimejisahau akayakamata akanibinya mpaka nikatoa machozi!.. tukayajenga yakaisha ile kapitiwa usingizi nikamvizia nikamng'ata tena pua aliamka chapchap huku mkono wake wakuume ukikimbilia tena korodani na vile ilikuwa tumezima taa nilishangaa tu tayari matunza upwiru yangu yameshashikwa yanakamuliwa!.. nilipiga welelo majirani wakatoka!

kesi kama hii unawaelezeaje majirani...?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…