Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Nilipita chimbo flan linaitwa DDC,duh yan wadau wamevurugwa,ile kuagiza PINGU naona naonyeshwa ukutani kamba kama zote zimetundikwa kwenye msumari...!!!ila kwa kuwa nilishapata hints nikaelewa Somo,nikaagiza safari kubwa nikatembea tughimbe night club
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Kazi ya kamba ni nini mkuu mbona kama unashindwa kutupa muongozo tupe hint
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Kazi ya kamba ni nini mkuu mbona kama unashindwa kutupa muongozo tupe hint
🀣🀣🀣 Jamaa hizo kamba,mama muuza anakufunga miguuni,ukigonga hizo PINGU kadhaa mambo yanaharibika...
 
🀣🀣🀣 Jamaa hizo kamba,mama muuza anakufunga miguuni,ukigonga hizo PINGU kadhaa mambo yanaharibika...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kamba anakufunga mwenyewe sasa hata kama una kichwa kigumu kama changu hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…