Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
πππππππππ Yaani bora utoke eneo la tukio mapemaHahahah ulishaonaga mtu ana siri zako halafu enaendelea kuagiza pombe ?? Wewe kiroho juu juu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππ Yaani bora utoke eneo la tukio mapemaHahahah ulishaonaga mtu ana siri zako halafu enaendelea kuagiza pombe ?? Wewe kiroho juu juu tu
Pia unapenda umbea wa ....... πUmbea, udaku na ufukunyukuu.
Ba tamu anakataza sana, najitahidi ilaa wapiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£ π€£ ππ€£ qmmmmk, eti weleloutoto.. jana tu nimemng'ata king'asti wangu pua ye akakimbilia kutaka kunibinya korodani!,nikamkweka akawa amenikosa akaniacha.
usiku nimelala nimejisahau akayakamata akanibinya mpaka nikatoa machozi!.. tukayajenga yakaisha ile kapitiwa usingizi nikamvizia nikamng'ata tena pua aliamka chapchap huku mkono wake wakuume ukikimbilia tena korodani na vile ilikuwa tumezima taa nilishangaa tu tayari matunza upwiru yangu yameshashikwa yanakamuliwa!.. nilipiga welelo majirani wakatoka!
kesi kama hii unawaelezeaje majirani...?!!
Anajua haya matatizo
Inawezekana ehee? Maana uwa napata hamu kabisa. Ahsante kwa ushauriHiyo ni iron deficiency inakufanya unacrave vitu Kama hivyo mchele,udongo na vitakataka vingine.kunywa dose ya FeFo, au nenda hospital kwa ushauri zaidi.
π€£π€£ na glass unaishika flani hiviWine magoli sana sema haina povu alafu huwezi piga gudugudu ina unywaji wake fulani hivi π
Lager mwendo mdundo glass hamna unakamata chupaπ€£π€£ na glass unaishika flani hivi
Full unyama. Ila waweza shika glass ukapiga funda moja kubwaaa
Made in Tz zote uwa siziwezi, ka flying kwa mbali. Sbb sio chunguLager mwendo mdundo glass hamna unakamata chupa
Tangu nipo nyumbani nilikuwa na aunt anafanya kiwanda cha maziwa yale ya kopo alikuwa akileta hayamalizi wiki na alikuwa anakuja nayo mengi.pamoja na cocoa ile yenye sukari. dah. Naamini nikija kuwa na familia ntaach nsije kuwa mzee wa hovyo.
Kamata kilimanjaro light haina uchachuMade in Tz zote uwa siziwezi, ka flying kwa mbali. Sbb sio chungu
Usihofu akaunti zenyewe fekeroYangu hadi naona aibu kuiandikaπ‘
Nyeto na porno kuacha ni kipengele hizo mbanga huwa unapumzika halafu unazirudia kwa kasiNyeto mazeee....
Kutamani makalio ya wanawake wapitao njia wale waliobarikiwa kibebeo na kumuona mwanamke akiwa na nguzo za ndani tuπakipikaHabari zenu,
Huu ni uzi maalumu kwa watu ambao wanatamani kuacha kufanya jambo fulani lakini imekuwa ngumu kwao.
Funguka hapa huenda ukapata msaada na ukaweza kuyashinda yanayokutatiza.