Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

Kitu gani umeshindwa kabisa kuacha

utoto.. jana tu nimemng'ata king'asti wangu pua ye akakimbilia kutaka kunibinya korodani!,nikamkweka akawa amenikosa akaniacha.

usiku nimelala nimejisahau akayakamata akanibinya mpaka nikatoa machozi!.. tukayajenga yakaisha ile kapitiwa usingizi nikamvizia nikamng'ata tena pua aliamka chapchap huku mkono wake wakuume ukikimbilia tena korodani na vile ilikuwa tumezima taa nilishangaa tu tayari matunza upwiru yangu yameshashikwa yanakamuliwa!.. nilipiga welelo majirani wakatoka!

kesi kama hii unawaelezeaje majirani...?!!
🀣 🀣 πŸ˜‚πŸ€£ qmmmmk, eti welelo

Nimecheka ka fala vile. Nakumbuka tulipokuwa wadogo hapo mjini Mwanza kuna dogo alikuwa akighafirika anaanza kuita liwelelooo
 
Wine magoli sana sema haina povu alafu huwezi piga gudugudu ina unywaji wake fulani hivi πŸ˜„
🀣🀣 na glass unaishika flani hivi
Full unyama. Ila waweza shika glass ukapiga funda moja kubwaaa
 
pamoja na cocoa ile yenye sukari. dah. Naamini nikija kuwa na familia ntaach nsije kuwa mzee wa hovyo.
Tangu nipo nyumbani nilikuwa na aunt anafanya kiwanda cha maziwa yale ya kopo alikuwa akileta hayamalizi wiki na alikuwa anakuja nayo mengi.
Mpaka sasa Nina mke na mtoto sijaacha mpaka mwanangu ananisemea kwa mama yake.
Siwezi kuacha kulamba maziwa
 
Habari zenu,

Huu ni uzi maalumu kwa watu ambao wanatamani kuacha kufanya jambo fulani lakini imekuwa ngumu kwao.

Funguka hapa huenda ukapata msaada na ukaweza kuyashinda yanayokutatiza.
Kutamani makalio ya wanawake wapitao njia wale waliobarikiwa kibebeo na kumuona mwanamke akiwa na nguzo za ndani tuπŸ‘™akipika
 
Back
Top Bottom