Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Punyeto enzi za ujana wangu mchanga. Ilifikia hatua ningeweza kushinda nafasi ya Uenyekiti wa wapiga Punyeto. Niliteseka sana hili zimwi. Ila baada ya kufika umri wa miaka 27 Hali Ile iliondoka taaribu baada ya kuanza kudet na mademu. Nashukuru sikuweza kufikia hatua ya kuharibika upande wa nguvu za kiume. Kisaikolijia nilifika pabaya
 
Back
Top Bottom