Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Sikimbilii kokote mkuu,,hiyo wewe ushakuwa mwanga tayari
Usimalize maneno, nilikuwa kama wewe back in days. Kama kuna kitu nimejifunza kwenye haya maisha mpaka sasa ni kutokumaliza maneno na kwamba kutenda wema mara nyingi huwa hakuna faida.
 
Kumbe😣
 
Baadae ukaanza kujifunza Siri za ulimwengu sio!!?huko ndipo.zilipo!
 
Huko ndo hakuna kufichana fichana, unaona wabaya wako kwenye screen ya 4k, haha
Mbaya sana na huleta kisasi day!!
Hawa mashehe Hawa wasomi Hawa hatari sana!
Wanajua Hadi miaka utakayoishi na hatma Hadi idadi ya watoto utakayozaa!!

Hii kitu ukiiendekeza itakutesa!!
 
Hongera..
SKU hizi upendo umepotea, staki tena mimi😂
Mahusiano yana raha yake ila yakianzia kukugeukia utatamani kufa 😅
 
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.

NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
Unaingia Hadi na kivuli kbs😂😂
 
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.

NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
Nliapa sirudiani na ex ila nikajisaliti🤌😂
 
Hongera..
SKU hizi upendo umepotea, staki tena mimi😂
Mahusiano yana raha yake ila yakianzia kukugeukia utatamani kufa 😅
🤣🤣🤣palepale penye raha ndio pakupatumia cute
 
baada ya kupima na kujikuta niko powa nilisema sitakuja kaza mtu peku, hapa niko nawaza kupima tena maana nsha kula watu peku tena
 
Nilijiapizia kamwe sitokuwa shabiki wa Arsenal Tena baada ya kupoteza ubingwa kizembe mikononi mwa Manchester City.
Leo hii nimejikuta naishabikia tena 🤔
 
Back
Top Bottom