Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Nilijiapiza sitomla mpangaji wangu hata kama alikuwa ananitega leo hii naandika sms hii hajalipa kodi mwezi wa saba unaenda.
NAJUTA MBWA MIMI.
Aiseer hapo kishaumanaaa
 
Malaya = less expensive. Kumiliki demu aisee ni shughuli mie nilijaribu mimeshindwa maana dah ni kelele za kuhudumiwa tuu alafu ukizingatia mie mwenyewe full kibamia, so kugegedewa ni uhakika.
Jiamini....akikuzoea mbona anaenjoy tu jaman
 
Nyeto bwana napigana nayo niiache lakini nashindwa mentor wangu Kila akianza kunipa darasa Huwa ananiambia "stop masturbating do it in reality" jamani nisaidieni zikipita siku nne bila Hiyo kitu mwili wangu unakuwa kama unaumwa na Nina wanawake kama wanne hivi...Yani imefika kipindi kabla sijamnyandua demu lazima nipigie kwanza nyeto😭🤣🤣🤣🙆
 
Back
Top Bottom