Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

🤣🤣🤣We ungepata chance ya kupata million 500 ya bure ungekataa...hamna kitu Kama hicho...ni wivu tu wa maendeleo. Eti hutaki shortcuts...
 
Yes unajificha ndio mana inaitwa dark art. Na kwanini wewe na wenzako tu ndio msione au ni Kwa sababu chizi huwa harogwi.[emoji89]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Kwa sababu sisi ni watu logical ndo hatuoni hivi vitu...ni uwongo na story za mababu ambao hawakujua hata mvua inasababishwaje wanajua miungu inashusha. Ndo jamii tuliyotoka, kitu Kama jua, mbwa, paka, miti hatubishani kama ipo au haipo..why we uone peke yako kitu ..huo ndo uchizi. Kuona maruwe ruwe ni tatizo la kiakili
 
Tiba asili sio uchawi ni sayansi
 
🤣🤣🤣Sayansi ya darasani haiishi...Kama inaisha nionyeshe wewe mwisho wake afu uendelee na huo uchawi. Hii ni kama god of the gaps..kitu hujui hence ni uchawi afu ukishajua kazi ya uchawi inapungua... Mwishowe uchawi unakosa pa kujificha. 🤣 Tuonyeshe uthibitisho wa Sayansi kuisha na uchawi kuendelea...mtu yoyote anaweza kuongea, we tuonyeshe
 
Sio kazi yangu...afu bado hujathibitisha ukweli kuhusu hio story
Unataka nani sasa akuthibitishie shaka yako?
Nilishakupa nafasi, kama una mgonjwa wa kuvunjika mifupa ya mwili wake, nitafute nitakupeleka kwa mnayemuita mchawi, ambaye atamtibu mifupa yake bila kugusa mwili wa mgonjwa(si kwa dawa wala mikono). Ukishuhudia hilo, nitaomba uiulize Sayansi yako kanuni za kutokeajambo hilo, uoneka kama itakujibu.
 
Unaona umeishia kupinga kuwa sio kweli ni story tu na kutaka nithibitishe, nilidhani kwa kuwa wewe umefuatilia sana hizi story za uchawi na kugundua sio kweli basi ungekuwa na cha kuelezea ni vp hicho kinachoaminiwa kama ni chuma ulete sio uchawi kama watu wanavyoamini bali ni aina tu ya wizi wa kawaida au makosa tu ya kimahesabu ambayo mtu mwenyewe hufanya.
 
Binafsi sikatai kuhusu kuwepo tricks katika maonyesho ya mazingaombwe nishaona sana ila swali langu ni je mazingaombwe kiujumla ni tricks tu?
 
Jamii za kizungu zipi hizo
 
Mimi nataka kujifunza kwako sitaki kuleta story ili upinge tuanze kubishana, watu washatoa story kibao humu ila umeishia kupinga kwa kusema sio uchawi na kuwaambia wathibitishe kama ni uchawi. Sasa hapo hakuna tunachojifunza kutoka kwenye uelewa wako katika hili suala maana wewe unaishia tu kupinga na kudai uthibitisho yani hivyo tu basi.

Yani kwa ufupi ni kwamba wewe hauamini tu uchawi basi.
 
Jamii za kizungu zipi hizo
Kila kilichopo kwenye lugha za watu husika basi hicho kitu kipo au kimewahi kuwepo kwa hiyo jamii. Lugha huakisi uhitaji wa jamii mfano; waswahili tuna chakula kitokanacho na kusagwa kwa mbegu za mahindu(ugali) wengine kama wazungu hawana kitu hicho ndo maana lugha yao haina tafsiri ya chakula ugali.
Hivyo basi, roho ni kitu ambacho jamii nyingi zimekubali kuwepo kwake...mtu akifariki wanasema amekata roho (roho ni nini? Unaithibitishaje?) Je, kwa kuwa hakuna namna ya kuthibitisha roho hivyo tuseme ni jambo ambalo halipo? Wengine tumeshuhudia mazingaombwe (achana na yale ya wazungu ya kuzuga akili). Mtu unaona anatokewa macho kabisa! Mtu anacha papers zinabadilika kuwa pesa! Ukisema nithibitishe, nawezaje wakati it's like another dimension operation ambayo mimi siingii ndio maana nashangaa!?
Kama wazungu leo wanaishi proved science, haimaanishi hawajawahi ishi katika uchawi maana wana maneno yenye kuakisi uchawi, kwanini yapo kwenye lugha zao?
 
 
Magufuli alipoahirisha mbio za mwenge 2020 na mwaka uliofuata akafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…