Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Ni wapi sayansi imekataa juu ya uwepo wa uchawi, mapepo na majini?
Kama hamjasoma sayansi ni vema mkae kimya.

Maswala yote ya kiroho yana sayansi yake husika( occult science) na yanaweza kuwa proved scientifically.
Hicho ambacho mnakiita sayansi ni mifupa tu ila nyama bado hamjafanikiwa kuzifikia.
Kumbuka " milk for the babies and meat for strong men" so keep on enjoying the milk.
Sir Isaacs Newton aliandika maandiko mengi sana ya Uchawi kuliko hata ya Sayansi.

So msipende kuongelea mambo msiyoyajua.
 
Sijkataa unayosema.
Everyone is innocent until proven guilty
Thibitisha hayo unayosema
Kama hauna nakuweka kundi MOJA na mjinga
Mwenzako aliyesema kwamba upo lakini siwezi thibitisha ni kwa jinsi gani.

Unatetea kitu ambacho huwezi kujijenga hoja.
Well,hata ungesoma" states of matter " vizuri na kuielewa tayari ungejua uchawi upo na ungeweza kuuthibitisha.
 
Sasa unatoa wapi hoja zako kuwa Tiba Asilia ni Sayansi kama hiyo yako ya makaratasi?
🤣🤣🤣We hujui Sayansi maana Ake Nini...Sayansi sio lazma usome shule. Sayansi ni another done to make life simpler. Nikitengeneza baiskeli yangu iende mwendo mzuri tayari ni Sayansi. Na process ya Sayansi ni kutafuta solution za matatizo. Tiba asilia ni Sayansi kwa sababu kupitia mimea unajaribu kutatua matatizo. We unadhani mpaka uwe Steve jobs ndo unakuwa mwanasayansi...hata we Katika maisha ya kila siku una apply scientific process.
 
🤣Bac mkishajulikana kuwa official doctors nitaenda. So far Nina Imani na ujuzi wa madaktari waliosomea mwili wa binadamu kwa miaka 7 na miaka mingi ya uzoefu
 
M
Maandishi yako yanaweka wazi kilichomo kichwani mwako... Habari za hunijui si hoja ndugu.
Tambua IPO Sayansi beyond hii ya Darasani, na hata waliokuletea hii wanajua hilo, Ila hawatakuruhusu uijue ili uendelee kuwa mtumwa mtiifu kwao.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sayansi sio darasani jamani. Hata we ukizaliwa hujaenda shule bado utatumia Sayansi. Science is making life simpler, is finding solutions to problems. Ndo maana inaitwa scientific investigation au research. Chochote ufanyacho katika kutafuta majibu au kurahisisha maisha ni Sayansi. Sasa wewe uniambie inaishia wapi na inaendelea wapi na uje na ushahidi wako tunausubiri
 
🤣🤣🤣🤣Next.

Naona huna hoja
 
🤣🤣🤣🤣Mnapenda Sana kumsingizia newton wa watu...kina Einstein.. skia kipindi hicho ukiwa atheist unapingwa na jamii nzima. Nitajie modern scientist ambae anaamini uchawi. Ambao hawaamini wapo kibao bill gates Elon musk etc nitajie wanaoamini...modern scientists nasubiria
 

Mpaka sasa hujanipa connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu zaidi ya kutunga uongo ILI umtafutie bibi yako wateja kuwaibia watu.
 
Ndugu embu kuwa muelewa kidogo...
Hata nikitengeneza baiskeli ni Sayansi ndio, na kunapimika Maabara. Yaelekea hujui maana ya Sayansi (nafikiri umri unahusika hapa)
Ikiwa Sayansi ni mchakato wa kutatua matatizo, nini kinafanya mtofautishe Sayansi na mkiitacho Uchawi, maana nao ni mchakato wa kutatua matatizo?

Ndugu:
Sayansi ni Laws and Principles.... Ndio maana ninakuambia Hata mnachoita Uchawi ni Sayansi maana una Laws and Principles.
 
🤣Bac mkishajulikana kuwa official doctors nitaenda. So far Nina Imani na ujuzi wa madaktari waliosomea mwili wa binadamu kwa miaka 7 na miaka mingi ya uzoefu
Eti mkishajulikana kuwa official doctors. Sayansi haihitaji kuwa officialized na kuku yeyote kuact, Maana yenyewe hutenda sawa na Ukamilifu wake, iwe unaojua au hujiui.

Wewe subiri usingizi ukuishe.
 
🤣Angalia video za behind the scenes zao....Sasa unaniuliza mie..sio mtaalamu wa haya mambo..wataalamu wapo wanaelezea na hata we ukifundishwa unaweza
Eti video za behind the scenes... Ndugu, yaani kumbe HATA MAZINGAOMBWE UNAYAONA KWENYE VIDEO??????

SIO KOSA LAKO NDUGU! Mazingaombe SIO CUMPUTER FICTIONS, yapo hata kabla hatujajua TV ni nini.
 
Kama hayo yote unayoyasema ni Hallucination, je ni hallucination ya aina gani?
Nina kitabu cha oliver sack huyu ni neurologist kaandika kitabu
kinaitwa hallucinations amelezea vzuri sana

Kuna visual hallucinations, olfactory hallucinations, auditory hallucinations tactile hallucinations n.k

Vyote hivyo vimeleezewa vizuri sana kiasi cha mtoto wa miaka mitano kuelewa.

Hicho kitabu ninacho mkuu karibu kwangu tena nitakupa na vingine ujifunze
 
Huna mfano halisi...fanya research...mi Sina duka..ila mjomba wangu anaduka hayo Mambo hayapo...ni story tu za mtaani. Kama una real evidence ya sehemu na situation hio onyesha na independent source
Kweli nimeamini alichosema member mmoja huko juu kuwa nyie ni wanafunzi bado watoto wadogo, ukikuwa na kutoka kwa mjomba wako pengine ndio utajione hali ilivyo.

Karibu JF naona ndio kwanza una miezi miwili tu.
 
Mpaka sasa hujanipa connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu zaidi ya kutunga uongo ILI umtafutie bibi yako wateja kuwaibia watu.
Sijataja mahali Uchawi wa Kufanikiwa kwa MTU, Ila nimetaja mnachoita uchawi wa Kutibiwa kwa mtu. Unajizungusha tu.

Huo wa mafanikio, wapo watakaokufikisha huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…