Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sawa dogo.Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dogo.Ndio
Kuna ambaye hata mazingaombwe anadhani ni Anorld na Jini.Kweli nimeamini alichosema member mmoja huko juu kuwa nyie ni wanafunzi bado watoto wadogo, ukikuwa na kutoka kwa mjomba wako pengine ndio utajione hali ilivyo.
Karibu JF naona ndio kwanza una miezi miwili tu.
Sijataja mahali Uchawi wa Kufanikiwa kwa MTU, Ila nimetaja mnachoita uchawi wa Kutibiwa kwa mtu. Unajizungusha tu.
Huo wa mafanikio, wapo watakaokufikisha huko.
Sawa dogo.🤣Ndio...mkiwa na uthibitisho leta
Ndugu akikuroga utajutaUchawi upo ndugu zangu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.
mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.
Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
Ni kwa Sheria na Kanuni Asilia za Matibabu, kinyume na mnazofundishana Darasani. Ukitaka kuzijua ingia Darasani.Elezea uchawi jinsi gani unavyomtibu mtu.
Ninaweza kukuelezea hiccup inatokea vipi na jinsi ya kuitibu japo sijasoma udaktari.
Elezea uchawi unavyotibu ugonjwa ?
Kumbe watu barabarani wanagongwa na mengiKuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Ni kwa Sheria na Kanuni Asilia za Matibabu, kinyume na mnazofundishana Darasani. Ukitaka kuzijua ingia Darasani.
Ninachoweza kukuonesha mgonjwa anayepona kwa mnachoita Uchawi, kujua mechanism gani inafanyika professional ya mtu.
Wanaokuelezea ni wataalamu wa hiyo, wanakuelezea Wewe mteja. Nami ni mteja katika kile unachokiita uchawi.Elezea connection ya mtu kupona kwa uchawi
Mbona science huwa inaelezea vitu mfano wa hallucinations imelezewa kisayansi kabisa.
Tupe connection ya uchawi na jinsi unavyotibu kama wewe ukiumwa kichwa ukanywa panadol tunaweza kuelezea kwanini unapona, au kwanini unapata migraine au kwanini mtu anapata tinituts vyote wanaelezea.
Elezea wewe sasa unayedai upo tupe hiyo connection?
There are 4 types of hallucinations, which pne are you talking about?Can you rephrase your question?
Duh kama ndoto vile, pole mkuu na je ni mtu ambaye hata humjui sura yake?Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Si ndio upeo wao wa kitoto unapoishia wakiangalia movie basi, kuna vitu wanavyovieleza hadi nilikuwa nashangaa.Kuna ambaye hata mazingaombwe anadhani ni Anorld na Jini.
eti mbona watu matajiri hawatokewi na hivi vitu,una ushahidi?Hamna kitu Kama kutokewa na marehemu hivi vitu ni hallucinations tu...mbona watu wenye akili timamu na wenye maisha mazuri hawatokewi na hivi vitu. Elimu tu ndo itakukomboa, hivi vitu ni biology sio kila kitu unachokiona ni Cha ukweli ndo maana unaota ndoto. Ubongo una nguvu kubwa na unaweza kukudanganya vingi, kadri jamii inavyozidi kuwa maskini ndo jinsi inavyozidi kuwa ya kishirikina kutokana na ukosefu wa elimu
Sura yake ilikuwa ngeni kabisa, sikuwahi kuiona hapo kabla, na sijawahi kuiona tena.Duh kama ndoto vile, pole mkuu na je ni mtu ambaye hata humjui sura yake?
Hewala!Hayupo nae
Actually five types.There are 4 types of hallucinations, which pne are you talking about?
Seems you know nothing about hallucination.
Aisee hadi mwili umesisimka, poleSura yake ilikuwa ngeni kabisa, sikuwahi kuiona hapo kabla, na sijawahi kuiona tena.
Asante sana FSAisee hadi mwili umesisimka, pole
Wanaokuelezea ni wataalamu wa hiyo, wanakuelezea Wewe mteja. Nami ni mteja katika kile unachokiita uchawi.
Nilikuwa na mgonjwa aliyevunjika pajani mara mbili, nilimtoa hospital na kumpeleka kwa Mganga wa Kienyeji a.k.a mchawi, akatibiwa ndani ya week akaweza kutembea.