Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kweli nimeamini alichosema member mmoja huko juu kuwa nyie ni wanafunzi bado watoto wadogo, ukikuwa na kutoka kwa mjomba wako pengine ndio utajione hali ilivyo.

Karibu JF naona ndio kwanza una miezi miwili tu.
Kuna ambaye hata mazingaombwe anadhani ni Anorld na Jini.
 
Sijataja mahali Uchawi wa Kufanikiwa kwa MTU, Ila nimetaja mnachoita uchawi wa Kutibiwa kwa mtu. Unajizungusha tu.

Huo wa mafanikio, wapo watakaokufikisha huko.

Elezea uchawi jinsi gani unavyomtibu mtu.
Ninaweza kukuelezea hiccup inatokea vipi na jinsi ya kuitibu japo sijasoma udaktari.

Elezea uchawi unavyotibu ugonjwa ?
 
Ndugu akikuroga utajuta
 
Elezea uchawi jinsi gani unavyomtibu mtu.
Ninaweza kukuelezea hiccup inatokea vipi na jinsi ya kuitibu japo sijasoma udaktari.

Elezea uchawi unavyotibu ugonjwa ?
Ni kwa Sheria na Kanuni Asilia za Matibabu, kinyume na mnazofundishana Darasani. Ukitaka kuzijua ingia Darasani.

Ninachoweza kukuonesha mgonjwa anayepona kwa mnachoita Uchawi, kujua mechanism gani inafanyika ni professional ya mtu.
 
Kumbe watu barabarani wanagongwa na mengi
 
Ni kwa Sheria na Kanuni Asilia za Matibabu, kinyume na mnazofundishana Darasani. Ukitaka kuzijua ingia Darasani.

Ninachoweza kukuonesha mgonjwa anayepona kwa mnachoita Uchawi, kujua mechanism gani inafanyika professional ya mtu.

Elezea connection ya mtu kupona kwa uchawi
Mbona science huwa inaelezea vitu mfano wa hallucinations imelezewa kisayansi kabisa.

Tupe connection ya uchawi na jinsi unavyotibu kama wewe ukiumwa kichwa ukanywa panadol tunaweza kuelezea kwanini unapona, au kwanini unapata migraine au kwanini mtu anapata tinituts vyote wanaelezea.


Elezea wewe sasa unayedai upo tupe hiyo connection?
 
Wanaokuelezea ni wataalamu wa hiyo, wanakuelezea Wewe mteja. Nami ni mteja katika kile unachokiita uchawi.

Nilikuwa na mgonjwa aliyevunjika pajani mara mbili, nilimtoa hospital na kumpeleka kwa Mganga wa Kienyeji a.k.a mchawi, akatibiwa ndani ya week akaweza kutembea.
 
Duh kama ndoto vile, pole mkuu na je ni mtu ambaye hata humjui sura yake?
 
eti mbona watu matajiri hawatokewi na hivi vitu,una ushahidi?
 
There are 4 types of hallucinations, which pne are you talking about?
Seems you know nothing about hallucination.
Actually five types.
Can you show which category of hallucinations can't be explained scientifically?
 

Siyo wataalamu kila kitu kipo wazi vipo vtabu wikipedia, academy apps kote huko wanaelezea na ukitaka kufanya majaribio uprove fanya.

Embu thibitisha huyo mtu alitibiwa kwa wiki mbili?

Tunajua unatafuta kuwaibia watu na sasahivi watu wame elimika.

Nasubiri jibu unipe connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…