Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Bac toa ubongo wako...si ni kama mguu...toa ubongo wako afu tuone Kama utakuwa na mwili, roho na akili au utakuwa mfu...🤣Rudi shule kadai ada yako hamna kazi hapa...next
 
Sijakutisha ndugu,na wala mimi si mjinga ni mwerevu haswa,na nilikuwa mbishi kama wewe,ila omba sana Mungu,yasikukute ila nakuhakikishia ipo siku utayashuhudia na utahitaji msaada .
 
🤣🤣🤣🤣🤣We unajuaje mi sijaoa Nina watoto...skia Kama Kuna umri wa kuona uchawi utaje bac...tuambie ikifika umri fulani utaona uchawi
Maelezo yako tu yanaonyesha bado ni mtoto mdogo ndio maana umekuwa ukitoa mifano ya ajabu sana, kwamba et jua tunaliona hatubishani kama lipo hivyo na uchawi nao unataka uuone. Ukiwa mkubwa ukitoka kuishi kwa mjomba wako na kuingia mtaani ndio utakuja kuelewa uchawi ni nini hivyo hata ukipinga uchawi utapinga kama mtu mzima ambaye ana uelewa ila sio sasa hapo.
 
Sasa kutokewa na majini nao ni uchawi?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] duhh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijakutisha ndugu,na wala mimi si mjinga ni mwerevu haswa,na nilikuwa mbishi kama wewe,ila omba sana Mungu,yasikukute ila nakuhakikishia ipo siku utayashuhudia na utahitaji msaada .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimwombe nani...it's lyk unaniambia Nimwombe dragon nisione vampire...🤣think again...
 
🤣🤣🤣🤣Bac...we si mtu mzima...na si upo mtaani...ehe tunaomba ushahidi wa uchawi hapa. Kama huna...ni story za mtaani na hallucinations. Halafu nimekuuliza uchawi unachagua umri..if yes ni umri upi bac tuujue ili tukifika tuone
 
Ukija kukuwa utaelewa kwamba si kila kitu ni kama jua kwamba unathibitishiwa kwa kuona kama unavyotaka uthibitishiwe uchawi kwa kuonyeshwa hapa JF.
 
🤣🤣Aaah kumbe sio..so majini sio uchawi bac majini ni Nini? According to u Mr ushirikina
Sasa kwanini usingekuja toka mwanzo kijana ukaomba kwanza uelekwezwe hivyo vitu kwamba uchawi ni nini, majini ni nini, mazingaombwe ni nini n.k kisha ndio ukaanza ubishi baada kuvielewa hivyo vitu?
 
Sasa kwanini usingekuja toka mwanzo kijana ukaomba kwanza uelekwezwe hivyo vitu kwamba uchawi ni nini, majini ni nini, mazingaombwe ni nini n.k kisha ndio ukaanza ubishi baada kuvielewa hivyo vitu?
Vyote ni kundi moja...🤣 supernatural stupidity
 
😁 Umri gani huo...
Utakapotoka kwenye utegemezi na kuingia mtaani kutafuta maisha mwenyewe ndipo utakutana na mambo mengi ambayo yatatanua upeo wako ila kama utaendelea kukaa hapo kwa mjomba hali itaendelea kuwa hiyo hiyo.
 

Nimeachana nae hajui anachotetea ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…