Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Unaposema Halloween ni tradition wanavaa nguo za kichawi nk

Alafu unasema hawaamini uchawi???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Una uhakika ww una akili??
 
Utakapotoka kwenye utegemezi na kuingia mtaani kutafuta maisha mwenyewe ndipo utakutana na mambo mengi ambayo yatatanua upeo wako ila kama utaendelea kukaa hapo kwa mjomba hali itaendelea kuwa hiyo hiyo.
Mi skia kwa mjomba...nimepanga naishi Mimi na mke wangu...🤣au mpaka nije mtaani kwako..okay ukiachana na Hilo. Je Kuna watu ambao hawakai kwa mjomba wao Ila bado hawaamini uchawi? Yes wapo...😁so wao unawapa ushauri gani waone mambo ya kichizi unayoona we na wenzako
 
Unaposema Halloween ni tradition wanavaa nguo za kichawi nk

Alafu unasema hawaamini uchawi???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Una uhakika ww una akili??
🤣🤣🤣Mi nikivaa Kama superman inamaanisha ninaamini Kuna superman? Mbona unakuwa Kama mtoto wa la tano wewe. Angalia bac hizo Halloween uone
Ni sherehe tu Kama zingine...
 
Duh huyo mwizi lazima aweweseke usiku mzima.

Nimejaribu kudownload hii attachment, ila sijaona option ya kufanya hivyo. JF web haisupport kudownload video?
Inajidownload automatic nenda check kwenye file zako...
 

Si ni kama vile wewe unavyomuona mke wako mzuri wakati wengine Wala hatuuoni huo uzuri wake. Maana yake nini...ni kwamba mapenz yamekufanya umekuwa kipofu huoni. Sasa kama kitu kidogo hivi kimekushinda kuona ndo utaona paranormal activities!??[emoji1783]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Huyu nae ni mpuuzi mmoja tu...anatetea ujinga eti Mungu wa walokole..mbona wamejazana watu wenye njaa na ambao hawana kazi huko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nikivaa Kama superman inamaanisha ninaamini Kuna superman? Mbona unakuwa Kama mtoto wa la tano wewe. Angalia bac hizo Halloween uone
Ni sherehe tu Kama zingine...
Kuvaa kama Superman hakuna shida

Kuweka sherehe kwa ajili ya Superman iko sawa???

Mkuu acha ujinga kila unachokiona Africa na ulaya kipo...Acha kuwa mtumwa wa fikra
 
Cha kwanza panya...sioni uchawi Cha pili mwewe sioni uchawi...Cha tatu... hallucinations...😁Next
 
🤣🤣Afu utaskia baadae watu wanasema yule bibi sijui kafanyaje sijui nyumba haibomoki sijui aaah bro nishawazoea
 
🤣We huna elimu...behind the scenes sio lazma iwe movie .hata live shows Kama Mieleka, dances, etc performance za wasanii Zina behind the scenes. Acha kuwa ignorant sawa. Behind the scenes namaanisha maelezo ya hiyo performance au practice zake hivyo
 
🤣🤣🤣🤣Okay tiba asilia hata mi naweza kula mmea nikapona. Tuje kwenye tunguli, nyota, nyungu, makaburi...una evidence ya ulisemalo au unaongea kwa hisia...
 
Hujui Sayansi ni Nini ..Sayansi haiishi darasa la Saba ulipoishia wewe...Sayansi ipo katika maisha .ukitembea ni Sayansi Kuna skeletal movement, kuna friction, Kuna energy ndo science sawa...elewa bac
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bas kamwambie mganga wako aniue ..toka hapa na story zako....we na umaskini wako unaenda zahanati yenu ya mtaa hamna hata kipima joto unasema huoni ugonjwa...🤣Hizi story ziishie kwa mwamposa sio hapa
 
Hakuna unalojua wewe!Bure kabisa...! Nashangaa hata watu wanaokujibu! Unaweza ukawa una type upo sebleni kwa shemeji hapo unaangalia katuni..!
🤣🤣🤣🤣Niambie bac nikitoka kwa shemeji yangu nitaona uchawi au utanipa kisingizio kingine Cha kwa Nini we ni chizi na unaona hallucinations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…