Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Unataka uthibitishiwe kitu ambacho hukijui? Unaona utoto wako sasa dogo. Hujui majini ni nini unakimbilia kutaka uthibitishiwe.Unaweza ukaja na uthibitisho wa majini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka uthibitishiwe kitu ambacho hukijui? Unaona utoto wako sasa dogo. Hujui majini ni nini unakimbilia kutaka uthibitishiwe.Unaweza ukaja na uthibitisho wa majini?
Kweli ww ni kilaza...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda bac..ulaya makanisa yanageuzwa bar club restaurant kisa watu hawaendi...huku Africa watu ndo wanatajirika na makanisa kisa watu wajinga na Washirikina. Nimekuambiaje Halloween ipo kwa sababu ni tradition. Jamii zao ziliamini uchawi ndio..Ila saa hivi ni fun tu. Ni kama kujikumbushia. Ndo maana watoto wanavaa nguo za mavampires, na vingine kutishana for fun. Ila hawaamini. [emoji1787]Kama unabisha Wikipedia Halloween. Mtu hujui Halloween ni Nini afu unapiga kelele. Yaani ni kama Valentine's day tu, ni siku fulani special kwa ajili ya tradition fulani
Okaaay sasa kama hawaamini uchawi huyo dada anayefanya hizo magic ww unasema ni trick anafanya matamasha mengi mno na ni gharama kiingilio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda bac..ulaya makanisa yanageuzwa bar club restaurant kisa watu hawaendi...huku Africa watu ndo wanatajirika na makanisa kisa watu wajinga na Washirikina. Nimekuambiaje Halloween ipo kwa sababu ni tradition. Jamii zao ziliamini uchawi ndio..Ila saa hivi ni fun tu. Ni kama kujikumbushia. Ndo maana watoto wanavaa nguo za mavampires, na vingine kutishana for fun. Ila hawaamini. [emoji1787]Kama unabisha Wikipedia Halloween. Mtu hujui Halloween ni Nini afu unapiga kelele. Yaani ni kama Valentine's day tu, ni siku fulani special kwa ajili ya tradition fulani
Bado wanatoa mpaka leo hujui???1. Pope saa hivi anatoa mapepo? No why? Coz wameelimika na science wanajua mapepo hamna...
2. Tafuta mi sio field yangu hii..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaah kumbe unaamini Musa alikuwa mtu real. Naamini unafuatilia historia ya misri..ipo kwenye history na science channels kibao..how comes from Egypt history au hata Israel history as a secular (sio ya kidini) hamna records zozote za mtu aitwayo Musa, wamisri hawakumiliki wayahudi Kama watumwa, wayahudi hawakukaa jangwani miaka 40(na hamna archaeology inayoonyesha hivyo) na Canaan ilikuwa Egypt colony by the time...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]so Musa nae katungwa tu Kama story nyingine ..Kama unabisha fuatilia history ya dunia sio story za mababu za kutungwa
Nithibitishie kama una akili ama huna basi[emoji1787]Ila si wanawake wapo. Mi Nikisema nimeona mbwa hatakama sijawaaminisha na video ya mi kuwa na mbwa tayari mnajua nimemwona coz possibility ipo...Sasa wewe ukisema umelala umeamka Jupiter au umeona ng'ombe anapaa lazma nitaomba uthibitisho coz hii ni extraordinary claim and it requires extraordinary evidence
🤣🤣🤣🤣Si nipo mtaani...wanaoamini uchawi ni wajinga na wasio na elimu na watu maskini wa kifikraTatizo sio wewe kutoamini uchawi ila tatizo hoja zako ni za kitoto mengi unaongea kwa sababu hujui hata mtaani maisha yakoje.
🤣🤣🤣🤣Story zingine za mtaani..hata mi naweza andika story just to make me feel good...not trueuchawi upo tena sana ila kama haijakutokea utaweka sna hizo theories za kizungu n.k,Kuna mzungu mmoja maeneo flani walikuwa wanachimba mchanga kutafiti dhahabu na Ile sehemu kuwa wachawi wengi tu si akawa anabisha kuwa hakuna uchawi Dunian,usiku alilala kuamuka kesho yake kanyolewa sehemu za Siri mbona aliacha kulala pale kijijini ikawa Kila siku jioni anenda kulala town NB:uchawi upo ila usiepende Kwa waganga ndo utateseka zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Okay..uliweza kudefine uchawi niiteUsichokijua ni Wewe ndio hujui kinachoitwa Uchawi ni nini. Jifunze zaidi kabla hujaja kuongea mbele za watu. Au subiri ukue.
🤣🤣🤣Nani kabisha. Skia nenda kaangalie breaking the magician code..video zinaelezea watu wanafanyaje mazingaombwe, hata wewe unaweza ukajifunza na ukafanya. Ile ni Sanaa ndo maana wanaitwa talented...tumia bac upeoNdugu, unajivua nguo. Nimekuambia movie kama mfano tu wa computer fictions unazofikiri ndio Mazingaombwe.
Nikujuze tu, Mazingaombwe ni kitu live hadharani pasipo manuva yoyote ya computer. Yapo na yalikuwepo hata kabla ya kuja kwa mzungu.
🤣🤣🤣Okay so nipoteze nauli yangu kisa uwongo na maujinga yenu .no thank u...we si mchawi..rusha mauchawi yako huku niyaone au uchawi una mipaka?Mara ngapi nakuambia kwamba ukitaka kushuhudia hayo nitafute, Gharama ni nauli yako tu.
Tiba Asilia aiishii na kula mizizi ya muarubaini dogo, Mawanda yake ni mapana, nimekupa mfano tu wa kulala makaburini, na vipo zaidi ya hapo.
🤣🤣🤣We umeishia la Saba Nini...Sayansi ya darasani inaishia wapi? Niambie. Wat is physics? Wat is chemistry? Wat is biology? Niambie Sasa mwisho wa hizi Sayansi ni wapi afu mwanzo wa huo uchawi ni wapi...🤣maana naona unajikosha tu hapaNilishakuambia, Kinachoitwa Uchawi ni Sayansi. Inakoishia Sayansi yako ya darasani ndipo inapoanzia hiyo mnayoita Uchawi.
Sasa hapo ujiulize mwenyewe ni nani ameishia na Sayansi yake ya Newton.
Unajiona uko huru kumbe ni kondoo uliyenona.
🤣Sasa bangi gani...Sasa panya kweli .nikae nikuelezee panya si uchawi wakati hata kwetu panya wapo..Hilo unajuaAcha bangi
🤣🤣🤣Huna hoja kaa pembeni...kazi iendeleeMnapoteza sana mda kuwajibu atheist sisi Huwa hatuwajibu maswali yao hayo ya kitoto
Ngoja nikusaidie hilo....🤣🤣🤣Okay..uliweza kudefine uchawi niite
🤣🤣🤣Naona umejikosha...hamna evidence ya mtu kuitwa Musa..Wala wayahudi kuwepo misri...wayahudi ni kikundi kikubwa Cha watu..ni sawa Leo kusiwe na ushahidi ya waarabu kuja Tanganyika...Ila ushahidi upo Kuna magofu, maandiko, na vifaa...hamna ushahidi Sasa wa wayahudi kutoka misri...ni story ya kutungwa...soma history ya dunia achana na history za kutungwa na Washirikina....😁Sasa sijui babu yangu ameingiajeKwanini usiamini wakati unaamini Babu Yako nae alikuwa na Babu yake na Babu na Babu yake Tena na Tena na Tena na kuendelea. Je kuna record yoyote ya Babu yako yuleeeeeee wa mbele kule kabisa karibia na ancestors wenu!!? Kama haipo hiyo record inamaanisha hakuwahi kuwepo? Ikipatikana source ikasema history ilifutwa utabadili mtazamo wako ama utasema walikuwa wapi siku zote as sayansi hainaga kikomo na ugunduzi unaendelea Kila siku.
Come again
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ninachat..ninapumua..ninakula..ninalala...that shows my brain is functioning..Rudi form 3 usome functions of the brain na udai ada yako shule😊👍
Kumuelewesha mtu asiyetaka kuelewa ni mzigo mzito🤣🤣🤣Huna hoja kaa pembeni...kazi iendelee