Ungekuwa unaelewa hivyo usingekurupuka kusema hakuna Uchawi.
Nitarudia tena, UCHAWI UNAANZIA PALE WAJIITAO WANASANSI MAMBOLEO WALIPOISHIA. Kushindwa kwao kuelewa kilicho nje ya uelewa wao ndiko kulikofanya wakatae uwepo wa Sayansi beyond Today's Sayansi.
Na nyinyi kondoo wao mnameza tu bilakufikiria hata kidogo.
Halafu ungekuwa mkamilifu walau ungefika hata kwa Waganga wa Kienyeji hata wa3, uwahoji kiutafiti wako kujua nini ni nini hasa.
HATA KUFIKA KWA MGANGA UNAOGOPA HALAFU unapiga kelele mtandaoni hakuna Uchawi. Kama haupo unachoogopa nini?