passion_Amo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2023
- 378
- 542
Mm nataka uthibitisho kwamba wewe sio passion amo. Siuoni.. weka UTHIBITISHO hapa kama wewe sio passion amo
We jamaa bhana. Tafuta kitabu kimoja kaandika Malinowski- kinaelezea watu wa Trobriand. Mana nimekuambia uende udsm ukaonane nae akuelezee yeye mwenyewe ilikuaje hutaki. Unataka tubishane tuNimekutumia video hiyo wakizungumza madhara yatokanayo na nadharia za uchawi na prof. Christine noe palanjo.
Nikutumie articles usome maana hakuna lecture aliyeanguka UDSM na hukuelewa hiyo tafiti inahusu nini.
Unaweza thibitisha lecture alianguka?
Shida ni kwamba unajivunia kilichomo kichwani mwako, hii inafanya tuonee huruma kizazi chako.Nimekuweka kundi MOJA na scammers wenzio waliosema kuna mtu anatibu kwa wiki MOJA.
Wana jf wapo makini tutatoa elimu msiendelee kuwaibia
BE ALERT WITH SCAMMERS
Hujui kitu wew jamaa mweupee sana. Na unadhani unaweza kuongea kirahis watu wakajua una akili nyingi. Fanya research mzee achana na video mitandaoni, mtu anaweza kuongea Kwa hobi na ajenda zake tu.Nimekuweka kundi MOJA na scammers wenzio waliosema kuna mtu anatibu kwa wiki MOJA.
Wana jf wapo makini tutatoa elimu msiendelee kuwaibia
BE ALERT WITH SCAMMERS
Achana nae huyu jamaa hajui kitu.Shida ni kwamba unajivunia kilichomo kichwani mwako, hii inafanya tuonee huruma kizazi chako.
Hawezi kwenda, hao wamezoea kuishi kwa Imani, kusikia vile vinavyowafurahisha tu.Achana nae huyu jamaa hajui kitu.
Kama anataka ajue nimempa codes aende udsm yeye Kwa muda wake akantafte huyo mtu. Yeye ananitumia video mm za nn sasa?
Shida ni kwamba unajivunia kilichomo kichwani mwako, hii inafanya tuonee huruma kizazi chako.
Sasa ndo aje kubalehe humu?Hawezi kwenda, hao wamezoea kuishi kwa Imani, kusikia vile vinavyowafurahisha tu.
Shida ni umri pia.
Hujui kitu wew jamaa mweupee sana. Na unadhani unaweza kuongea kirahis watu wakajua una akili nyingi. Fanya research mzee achana na video mitandaoni, mtu anaweza kuongea Kwa hobi na ajenda zake tu.
Huna research, husomi, hufatilii. Watakusikiliza wapuuzi wenzako
Hahaha... mimi nilidhani hoja kama hizo ni za mabishano ya kidini sasa nashangaa na wewe umezibeba, yani unataka kutuambia ni jamii ya kiarabu tu ndio kuna imani ya kuwepo majini?🤣🤣🤣Majini ni nonsense tu...ni beliefs za pagan Arabs ambazo mtume aliziiba akizitia kwenye uislam. Ndo maana majini ni central belief in Islam. Na ukiwa muislam lazma uamini majini...🤣 otherwise ni story tu ka zingine
Shida ni kwamba unajivunia kilichomo kichwani mwako, hii inafanya tuonee huruma kizazi chako.
Hii ndo nn? Ya nn mm?Wewe ulisikia tafiti unasema UDSM lecture kaanguka na hukuelewa hiyo tafiti inahusiana nini are you a scammer?Researchers conduct study on witchcraft beliefs - Daily News
A TEAM of researchers at the University of Dar es Salaam (UDSM), in collaboration with human rights organisations…dailynews.co.tz
Sasa sayansi ndio inakosea au watu ndio hukosea?🤣🤣🤣🤣Ukondoo? Me najua kondoo ni mnyama so sijui Ukondoo ni Nini..na hamna mtu ni mtumwa wa Sayansi. Sayansi hubadilika, hukubali Kama hapa tulikosea..ndo maana kila siku magari Simu na vitu vingine Bora vipya vinatoka. Ndo maendeleo, ushirikina unalazimisha alichoamini Babu ambae hakujua dunia ni duara na wewe kitukuu uamini hicho hicho. Ndo maana napinga maendeleo coz bila kukosoa walichoamini mababu hatuwezi kuendelea kifikra...so so far uchawi ni uwongo .embrace science and knowledge coz inaenda na wakati na uvumbuzi wa kimaarifa
Hii ndo nn? Ya nn mm?
Article yake Iko library pale. Nenda kaitafte. Umegugo hujapata 😅🤣🙌Nenda kasome umesema UDSM wamefanya utafiti wakaelezea kwamba upo uchawi utofauti ILA wao wanapinga .
Ndio maana nasema wewe ni scammer na tunaendelea kuelimisha jf watu wanapata elimu sasa mtaacha tu utapeli.
Thibitisha lecture alianguka?
Article yake Iko library pale. Nenda kaitafte. Umegugo hujapata 😅🤣🙌
Kama Kampuni tu ikiuzwa automatically wafanyakazi mnakua mmeuzwaNchi kuuzwa hali yakuwa na sisi tumo humu humu