Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Ndio...au unadhani sauti yako ya akilini mwako unavyoongea nayo ndo unaongea na Mungu ..🤣hi ni mada nyingine cheki thread za mada za Mungu.
Jibu swali Mungu yupo au hayupo? Ndio au Hapana? Sio unarukaruka
 
We jamaa una Hoja Gani mbona sijakuelewa vzuri? Uchawi haupo unaweza kuthibitisha kama haupo?
U can't prove a negative, 🤣🤣🤣hujui Sayansi, hujui math, hujasoma. Nikisema Nina mpira ukasema unaomba uuone nikakuambia unajuaje Sina ..🤣Mi ndo chizi...Sasa wewe unavyoniambia unajuaje haupo una shift the burden of proof. We unaamini uchawi upo.. tuonyeshe uthibitisho wowote. 🤣Kama huna uthibitisho bac ndo haupo
 
Ukiipata research hata Moja ya mzee mmoja anaitwa Mutebi mwalim udsm huko mtandaoni nakulipa laki Moja Kila moja
🤣🤣🤣Hajulikani...skia mpaka lecturer wa udsm kafanya kazi ya research kuhusu uchawi na kaprove upo...hii news ingetangazwa hata BBC Kama magu alivyokuta corona kwenye papai...coz ni kitu ambacho ni supernatural...Ila imeishia kijiweni. 🤣Tatizo Washirikina mnapenda kujikosha eti wazungu nao wanaamini, wasomi, wanasayansi, 🤣ili msijione wajinga wenyewe...nyie wajinga tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi hatutaki story, tunataka vivid evidence...story hata wewe unaweza nipa...tunataka hiyo research ututumie...
 
🤣🤣Mbona Azam tv wampost huyo Sasa au na Azam tv Wana agenda, hawataki watu waamini uchawi...🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unafaham mgogoro wa kuua wazee wenye macho mekundu shinyanga uliiishaje?
 
Hawezi kwenda, hao wamezoea kuishi kwa Imani, kusikia vile vinavyowafurahisha tu.

Shida ni umri pia.
Yaani Kati ya sisi ambao mpaka tuone kitu ..tuthibitishe ndo tuamini...🤣🤣na wewe ambae ukiskia story za wajinga kijiweni unaamini....yupi anaishi kwa Imani...🤣Niambie umri wa kuamini uchawi ni upi..maana navyoona mbona watoto wanaamini uchawi zaidi ya watu wazima...🤣ni elimu tu itawakomboa watanzania wenzangu
 
🤣🤣🤣🤣Wazee kuuliwa shinyanga ni kama ulaya mabibi kuuliwa...solution yake ni elimu ..hata shuleni tunasoma kuhusu witch burnings, killing albinos etc so over time lazma watu wataelimika. Zamani watu waliua albinos na kuwatenga ila Sasa tunaishi nao freshi that comes from elimu...ndo hivyo...🤣🤣🤣Sasa we unataka utuambie solution ilikuwa Nini...kusaini mkataba na wachawi au...
 
Unafahama mgogoro wa kuua wazee wenye macho mekundu shinyanga uliiishaje?
 
Case closed! Fanya research. Kumbe wwe ni empty mind
 
🤣🤣🤣Aaah kweli Bora Kuna internet...bila internet ukikaa mtaani na wajinga unadanganywa Sana...cheki sasa mtu alikuwa kashapotea kisa kukosa maarifa
 
Hahaha... mimi nilidhani hoja kama hizo ni za mabishano ya kidini sasa nashangaa na wewe umezibeba, yani unataka kutuambia ni jamii ya kiarabu tu ndio kuna imani ya kuwepo majini?
Jinns wameanza Arabia...na translation yake ni majini...🤣🤣🤣Sasa Kama Hilo unabisha soma Quran yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…