SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
ImefanyajeF R E E M A S O N R Y
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ImefanyajeF R E E M A S O N R Y
🤣🤣🤣🤣Tupe research yake...hio ni daily news .. official mainstream media...inaaminika...🤣🤣kitabu hata mi naandika...Tupe credible sourceSasa wewe unagugo hapohapo na kuleta USHAHIDI hapa hauna kichwa Wala miguu. Unadhani mm kugugo siwez Njoo na kitabu nitakuskiliza passion_Amo.
Anatumia akili na waigizaji...😂Mwamposa kupata waumini
Elimu wins all the tymUnafaham mgogoro wa kuua wazee wenye macho mekundu shinyanga uliiishaje?
Elimu tuUnafaham mgogoro wa kuua wazee shinyanga uliiishaje? Ukipatia tutaendelea kujadili
Credible sourceIPO library udsm. Nenda kaitafte
😂😂😂😂Naomba evidence ya hio research mbona google wanasema opposite...uliskia udsm uchawi ukaconclude bila hata kusoma..😂ndo maana nasema huna elimu weweCase closed! Fanya research. Kumbe wwe ni empty mind
Sawa si tunasema umeona hallucinations.. until u probe uchawi ni real tunakusubiriaNimeona vingi vingi vingi mnooo...nikisema niandike hapa mambo yatakua mengi ila uchawi upoo
😂😂😂😂Post na 653 vitabu vya dini vina makosa kibao ..vina uwongo kibao .. quran inasema Mungu anashikilia anga usianguke ..😂Allah hajui kwamba watu wanaenda mwezini....😅😂bila ruhusa yake. Skia uje na hoja dini ni hoja mbaya Sana utaaibikaYeyote asiyeamini uchawi upoo ujue Hana Mungu...
Vitabu vya dini zote mbili kubwa zimetaja uchawi Sasa kama Mtu haamini ujue huyo Sio Muislam Wala Christian
Kubisshana nao ni kupoteza muda tu
😂😂😂😂Bac nitumie Mimi mauchawi niyaone ukishindwa bac...😊we ni chizi wa miaka 10Natoa my own expirience , siuiti uchawi Ila the practise of dark and white magic mbona ipo tu.
Nina muda wa miaka takriban 10 nikideal na goetic demons ,using goetic magic.
Na ndio spirit anaitwa vizuri tu ndani ya duara (pentagram) ,kufuata nyiradi fulani na anakuja vizuri .
And no sio freemasonry, wala sio illuminati ,wala sio hallucinations . Unatumia majina takatifu ya mungu kuwashurutisha forcefully and they perform some but not all you require ,Kuna kanuni nyingi siwezi zungumzia.
Wanao itisha dhibitisho mambo haya wanaofanya wengi hadharani hawawezi including myself zungumzia Ila yapo ,much of these things watu wakiona ukifanya wanaweza kukuita shetani n.k
Ila the magical system can be manipulated kufanya uchawi .
Na ndio yanafaida kulingana na matumizi.
🤣🤣🤣Aaah kweli Bora Kuna internet...bila internet ukikaa mtaani na wajinga unadanganywa Sana...cheki sasa mtu alikuwa kashapotea kisa kukosa maarifa
😂😂😂😂Naomba evidence ya hio research mbona google wanasema opposite...uliskia udsm uchawi ukaconclude bila hata kusoma..😂ndo maana nasema huna elimu wewe
We unagugo Tatizo. Mm siwez kutumia miaka 3 kusoma kitu kitaaluma Leo nije kubishana na mtu anaegugo hapohapo na kuweka hoja hazina kichwa Wala miguuHalafu ni mbishi yaani anabishana na maprofesa huyo dr richard sambaiga ni department wa sociology and anthropology anapinga hizo nadharia.
sasa sijajua ni hawezi kusoma kingereza au vipi lakini bado anapinga.
Point sio wengi kuamini hilo linajulikana kuwa wengi hawaamini, ila hoja yako ya kwamba wanaoamini uchawi ni watu wasioelimika tu kwamba kutokuwa kwao na elimu ndio kunafanya waamini uchawi hapo ndio nimepinga hilo suala.😂😂😂Hata wewe unaweza kuandika kitabu Cha mashoga ila haimaanishi bongo inasapoti bongo..kule Kuna uhuru ukitaka uwe atheist sawa satanist sawa mlokole sawa mshirikina. Ila majority of them hawaamini uchawi, na research zimefanyika. Except america coz america Kuna watu wengi wa background tofauti Asia, Africa, Europe, south America etc so hivyo.. lakini countries Kama Sweden France wanaoamini uchawi ni wachache Sana..we umepata vitabu coz of course vipo Ila haimaanishi ndo majority view ya jamii Yao...😂elewa bac
Asigugo yeye kama anataka vitabu watu wamefanya research za hayo mambo aache email nimtumie mana Hana kitu kipya. Aina za uchawi mpaka udsm kwenye hiyo department wanafundisha. We unahangaika na mtu anaegugo ndo anajibu sasa unafanya nnPoint sio wengi kuamini hilo linajulikana kuwa wengi hawaamini, ila hoja yako ya kwamba wanaoamini uchawi ni watu wasioelimika tu kwamba kutokuwa kwao na elimu ndio kunafanya waamini uchawi hapo ndio nimepinga hilo suala.
Kwahiyo point ni kwamba wapo watu waliyokuwa na elimu ambao wanaamini uchawi,majini,ndoto n.k
Halafu kuna kitu kimoja wenzetu huko wao huona aibu kwenye kuonekana unaamini haya masuala kama ya uchawi kutokana na jamii yao ilivyo ni tofauti na sisi tuna uhuru wa kuelezea na kufanya ila mwisho wa siku haya mambo kwa wenzetu yapo na si kwenye vitabu tu bali kuna hadi madarasa yenye kufundisha na wataalamu wenye kuhudumia watu katika masuala haya.
Google kuhusu Psychic reading usome uone wenzetu wana deal na vitu gani.
Nilishuhudia mtu aliyevunjika mguu akatibiwa kienyeji akapona....matibabu...ni uganga....uharibifu...ni uchawi...na washirikina ni watu dizaini yako.🙂Elezea connection ya mtu kupona kwa uchawi
Mbona science huwa inaelezea vitu mfano wa hallucinations imelezewa kisayansi kabisa.
Tupe connection ya uchawi na jinsi unavyotibu kama wewe ukiumwa kichwa ukanywa panadol tunaweza kuelezea kwanini unapona, au kwanini unapata migraine au kwanini mtu anapata tinituts vyote wanaelezea.
Elezea wewe sasa unayedai upo tupe hiyo connection?
Huyu jamaa ni European philosopher!. Anatumia standard za biomedicine na European science kujaji ukweli wa maisha ya watu ambao sio European.Nilishuhudia mtu aliyevunjika mguu akatibiwa kienyeji akapona....matibabu...ni uganga....uharibifu...ni uchawi...na washirikina ni watu dizaini yako.🙂
Nimeeleza vitu ambavyo umeshindwa kuvielewa na hata unachokieleza haukielewi mara ng'ombe sio uchawi ila akipaa ndio uchawi sasa ndio unaongea nini? Punguza utoto.😂😂😂Hujui Sayansi ni nini ndo maana. Sayansi sio sindano..Sayansi ni kuelewa the natural world. Mfano ng'ombe sio uchawi, Ila ng'ombe akipaa ndo tunasema uchawi. Same as tiba. Tiba asilia ni natural medicine, ni Sayansi pia coz unatumia natural understanding kutatua tatizo that's science. Sayansi haiishi kwa doctor engineer sijui mwalimu wa la Saba. No we hujui what's science..so usiseme najificha... nakuambia ukweli.
😂💔Acha nao mkuu... tupambane na realityNa BADO anabisha wakati ma proffesor wa chuo wameongea nimempa na MAJINa ya maprofesa na wanapinga hicho kitu
Lakini bado anabisha nimemuweka kundi moja na scammer mwenzake.