Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Uthibitisho wa uchawi ni kwamba we umezaliwa wa kiume lakini umekubali kupumuliwa kisogo na midume mingine, bado tu huamini huo ni uchawi wa kutisha.
Sio hutaki vitabu hizo sio level zako bwabwa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ukishajiona unamtukana mtu badala ya kutoa hoja...jua mada imekushinda...๐Ÿ˜next
 
๐Ÿ˜Bac hii sio uchawi Tena...we prove uchawi wa kutokewa na marehemu, sijui bibi barabarani etc...ndo nachotaka
 
๐Ÿ˜‚Nirushie mauchawi yako....niyaone na huku. ๐Ÿ˜So lemme get this straight, wazungu ambao wameacha kuamini uchawi through enlightenment na science hawana elimu. Ila ambao wanaendelea kuamini ndo Wana elimu. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”skia we Kama huna elimu kubali tu mwanangu usianze kujitetea na wazungu.
 
Mimi nakushauri tu mdogo wangu maana umetoka kwenye kutuambia kuendesha bicycle ni sayansi mara unakuja na habari za movies mwishowe utakuja na cartoons za tom and jery hapa.
๐Ÿ˜‚Ndio...Kuna Sayansi imetumika kutengeneza cartoons, kutengeneza TV, etc.. Hadi Leo bongo hatuna kiwanda Cha TV tunaagiza zote nje au kama vipo ni makampuni ya nje..๐Ÿ˜‚ndo ujue wenzetu wameendelea..sisi kazi yetu ni kutumia tu coz akili ya kuvumbua hatuna tunawaza kumtafuta mchawi
 
Nimekuambiaje ingia Wikipedia page yake uelewe. It's pseudoscience tu Kama astrology, it's proven by science kuwa ni false na hata wewe unafanya. Ni mind games tu zile zisikuchanganye ukiamini ni uchawi...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Bac at this stage mtasema hata mwamposa mchawi coz watu wanasema wanapona baada ya kwenda kwake...
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hawaitwi majini. Niambie wapi kwenye Bible wameandika majini.
 
Hakuna cha ukweli, hiko ndio nilichotoka kukwambia kwamba mtu anaweza kuamini kitu fulani ni uchawi kumbe sivyo na hiyo inabaki kuwa ni mtazamo wake tu, sasa hapo jamaa kaona miguu akadhani ni jini sasa huwezi kusema et hakuna majini.
Bac...sawa coz tunazidi kuprove kuwa kila kitu sio uchawi ni ukosefu wa maarifa juu ya kitu...then tuonyeshe uchawi wenyewe uko wapi...
 
Ni nauli yako tu. UKIJIAMINI, NITAFUTE. Laah acha kubweka hovyo kwenye keyboard.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kwa Nini nikufate wewe... uchawi una mipaka au....๐Ÿ˜‚yaani ukitaka kugundua uhalisia, timu za Africa zinasemwa kutumia uchawi sijui ..ila mbona zinafungwa ulaya...mbona zinafungwa kombe la dunia...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚we kama upo unirushie mauchawi yako yakinifikia nitakuambia...so far siwezi poteza mda wangu niache kazi halisi nazofanya nifunge safari kufata utapeli...Kama una hasira ukaniua..๐Ÿ˜‚mi staki
 
Nimekupa nafasi ya Kushuhudia, Ni nauli yako tu. Utakachoshuhudia nitakuomba ukipeleke maabara kujua utokeaji wake.
Yarushe huku...๐Ÿ˜‚uchawi una mipaka kwani? Mi siwezi poteza nauli yangu kumtafuta chizi
 
Mi naomba usikilizwe
 
๐Ÿšฎ
 
๐Ÿ˜Bac hii sio uchawi Tena...we prove uchawi wa kutokewa na marehemu, sijui bibi barabarani etc...ndo nachotaka
Kumbe wewe unapenda story za kubishana.

Hayo ni mambo ya mediumship yenye kuhusu marehemu.
 
Sijitetei na wazungu ila wewe ndio unawatumia wazungu kama mfano wa watu ambao wameelimika na hawaamini uchawi na kwamba huku afrika tunaamini uchawi kwa sababu hatujaelimika kama wazungu.

Hivyo nimekuonyesha kwamba uchawi sio suala la wasooelimika tu pekee ndio wanaamini, hao wasioamini uchawi sio kwa sababu ya elimu bali hujaribu kupinga uchawi kwa kutumia elimu yao hivyo ni suala la kuamini na kutokuamini na wenye elimu na wasio na elimu.
 

Mkuu huyo utapoteza nguvu ni kamasi tu zimejaa hapo.
 
Unaongea hivyo kirahisi kwamba ni mind game kwa sababu tu hujasoma mwenyewe hivyo vitu, hauna picha kamili ya hayo mambo yalivyo usingeongea hivyo kirahisi, hapo umetoka kusoma wikipedia upande mmoja unaona inatosha.

Sitaki kukulazimisha ubadili mitazamo ila nasikitika tu unavyojizui kujifunza zaidi kwa sababu ya kushikilia misimamo na kupinga vitu ambavyo hauelewi vikoje.

Fanya kuwa umeshasoma upande mmoja hebu jaribu tu kusoma na upande wa pili, naweza kukutumia hadi vitabu usome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ