Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Uthibitisho wa uchawi ni kwamba we umezaliwa wa kiume lakini umekubali kupumuliwa kisogo na midume mingine, bado tu huamini huo ni uchawi wa kutisha.
Sio hutaki vitabu hizo sio level zako bwabwa
😂😂😂😂Ukishajiona unamtukana mtu badala ya kutoa hoja...jua mada imekushinda...😁next
 
Hapana, nimetoka kusema kwamba kama mtu atahusisha kitu na uchawi kitu ambacho si uchawi basi huo ukosefu wa maarifa ni wa huyo mtu na si kwamba uchawi ni ukosefu wa maarifa maana ni yeye ndio kahusisha uchawi pasipo ila uchawi utabaki kama ulivyo.

Hauwezi kusema uchawi ni ukosefu wa maarifa wakati huo uchawi wenyewe ni maarifa. Kwenye uchawi kuna kudhuru na kutibu, kupata taarifa n.k
😁Bac hii sio uchawi Tena...we prove uchawi wa kutokewa na marehemu, sijui bibi barabarani etc...ndo nachotaka
 
Sio suala la majority ni suala la wenye elimu kuamini uchawi hata kama ni wachache.

Naposema ndoto nakusudia kuwa ndoto zina maana hivyo nazungumzia tafsiri za ndoto, najua hili pia utakuwa unapinga.

Eleza sasa unaposema unataka uthibitisho wa uchawi ni nini hasa unataka kifanyike ili ndio iwe uthibitisho wa uchawi?
😂Nirushie mauchawi yako....niyaone na huku. 😁So lemme get this straight, wazungu ambao wameacha kuamini uchawi through enlightenment na science hawana elimu. Ila ambao wanaendelea kuamini ndo Wana elimu. 😂💔skia we Kama huna elimu kubali tu mwanangu usianze kujitetea na wazungu.
 
Mimi nakushauri tu mdogo wangu maana umetoka kwenye kutuambia kuendesha bicycle ni sayansi mara unakuja na habari za movies mwishowe utakuja na cartoons za tom and jery hapa.
😂Ndio...Kuna Sayansi imetumika kutengeneza cartoons, kutengeneza TV, etc.. Hadi Leo bongo hatuna kiwanda Cha TV tunaagiza zote nje au kama vipo ni makampuni ya nje..😂ndo ujue wenzetu wameendelea..sisi kazi yetu ni kutumia tu coz akili ya kuvumbua hatuna tunawaza kumtafuta mchawi
 
Sasa umekubali mwenyewe kuwa haujasoma kuhusu hivyo vitu hapo unaongea kijumla jumla, sijui kwanini mnatumia nguvu sana kubisha kuliko hata kujifunza?

Hakuna kitu rahisi kama kupinga, waliposema ukibishana na mjinga atakushinda tu ndio kama hivi. Soma kijana usibebe tu misimamo ya watu.
Nimekuambiaje ingia Wikipedia page yake uelewe. It's pseudoscience tu Kama astrology, it's proven by science kuwa ni false na hata wewe unafanya. Ni mind games tu zile zisikuchanganye ukiamini ni uchawi...😂😂Bac at this stage mtasema hata mwamposa mchawi coz watu wanasema wanapona baada ya kwenda kwake...
 
Hicho unachokieleza wewe ni maelezo kuhusu majini katika mtazamo wa uislamu ndicho ulichokisoma wewe huko google ila hao viumbe huelezwa tofauti kwa jamii na imani zengine ila wote huwakusudia viumbe hao hao. Mfano wakristo huwaeleza majini tofauti na mtazamo wa uislamu.
😂😂😂 Hawaitwi majini. Niambie wapi kwenye Bible wameandika majini.
 
Hakuna cha ukweli, hiko ndio nilichotoka kukwambia kwamba mtu anaweza kuamini kitu fulani ni uchawi kumbe sivyo na hiyo inabaki kuwa ni mtazamo wake tu, sasa hapo jamaa kaona miguu akadhani ni jini sasa huwezi kusema et hakuna majini.
Bac...sawa coz tunazidi kuprove kuwa kila kitu sio uchawi ni ukosefu wa maarifa juu ya kitu...then tuonyeshe uchawi wenyewe uko wapi...
 
Ni nauli yako tu. UKIJIAMINI, NITAFUTE. Laah acha kubweka hovyo kwenye keyboard.
😂😂😂Kwa Nini nikufate wewe... uchawi una mipaka au....😂yaani ukitaka kugundua uhalisia, timu za Africa zinasemwa kutumia uchawi sijui ..ila mbona zinafungwa ulaya...mbona zinafungwa kombe la dunia...😂😂we kama upo unirushie mauchawi yako yakinifikia nitakuambia...so far siwezi poteza mda wangu niache kazi halisi nazofanya nifunge safari kufata utapeli...Kama una hasira ukaniua..😂mi staki
 
Uwezo wako wakutoa “wazo” ni dhaifu na uwezo wako wa kutetea ni zero inshot hujui chochote unachojinasibisha kua unajua sana na ndo maana nakupinga sababu kama umesoma ivo vitabu ungeweza kufafanua vizuri tuu na wote tungetulia kukusikiliza ila naona unakimbilia matusi na kukasirika[emoji1]

Yani niende Geita migodini kuona watu wanavyotolewa kafara!!! Yani mnaua watu wasio na hatia mbuzi na kondoo kwa ujinga wenu alafu mi niende kushuhudia!!, then what?, nipige makofi?!!

Spiritual power its all about to depend on second power that is beyond urs hapo ndo tunangukia kwenye ujinga mwingi maana tunabweteka kuamini kuna nguvu itamaliza matatizo yetu yote baada yakufanya vitu flani.

Inshot ngozi nyeusi ilianzisha kitu kinachochwa uchawi ili kua mbadala wakuweka ustaarabu kati yao na kupata majibu ya changamoto za mazingira yanayotuzunguka na ndo maana uchawi asili yake ni vitisho fitna na matumaini tuu na hakuna lingine ila science ni majibu yalio halisia yalotokana na matumizi ya akili kutawala mazingira.

elimu zote unazozisema umesoma niambie ni vipi zinarelate na science wakati ushaponda hapo juu kua science ni upuuzi then unajichanganya mwenyewe kuja kutaka kubond science na uchawi ili vionekane viko sawa.
Mi naomba usikilizwe
 
🚮
 
😂Nirushie mauchawi yako....niyaone na huku. 😁So lemme get this straight, wazungu ambao wameacha kuamini uchawi through enlightenment na science hawana elimu. Ila ambao wanaendelea kuamini ndo Wana elimu. 😂💔skia we Kama huna elimu kubali tu mwanangu usianze kujitetea na wazungu.
Sijitetei na wazungu ila wewe ndio unawatumia wazungu kama mfano wa watu ambao wameelimika na hawaamini uchawi na kwamba huku afrika tunaamini uchawi kwa sababu hatujaelimika kama wazungu.

Hivyo nimekuonyesha kwamba uchawi sio suala la wasooelimika tu pekee ndio wanaamini, hao wasioamini uchawi sio kwa sababu ya elimu bali hujaribu kupinga uchawi kwa kutumia elimu yao hivyo ni suala la kuamini na kutokuamini na wenye elimu na wasio na elimu.
 
Uwezo wako wakutoa “wazo” ni dhaifu na uwezo wako wa kutetea ni zero inshot hujui chochote unachojinasibisha kua unajua sana na ndo maana nakupinga sababu kama umesoma ivo vitabu ungeweza kufafanua vizuri tuu na wote tungetulia kukusikiliza ila naona unakimbilia matusi na kukasirika[emoji1]

Yani niende Geita migodini kuona watu wanavyotolewa kafara!!! Yani mnaua watu wasio na hatia mbuzi na kondoo kwa ujinga wenu alafu mi niende kushuhudia!!, then what?, nipige makofi?!!

Spiritual power its all about to depend on second power which is beyond urs hapo ndo tunangukia kwenye ujinga mwingi maana tunabweteka kuamini kuna nguvu itamaliza matatizo yetu yote baada yakufanya vitu flani.

Inshot ngozi nyeusi ilianzisha kitu kinachochwa uchawi ili kua mbadala wakuweka ustaarabu kati yao na kupata majibu ya changamoto za mazingira yanayotuzunguka na ndo maana uchawi asili yake ni vitisho fitna na matumaini tuu na hakuna lingine ila science ni majibu yalio halisia yalotokana na matumizi ya akili kutawala mazingira.

elimu zote unazozisema umesoma niambie ni vipi zinarelate na science wakati ushaponda hapo juu kua science ni upuuzi then unajichanganya mwenyewe kuja kutaka kubond science na uchawi ili vionekane viko sawa.

Mkuu huyo utapoteza nguvu ni kamasi tu zimejaa hapo.
 
Nimekuambiaje ingia Wikipedia page yake uelewe. It's pseudoscience tu Kama astrology, it's proven by science kuwa ni false na hata wewe unafanya. Ni mind games tu zile zisikuchanganye ukiamini ni uchawi...😂😂Bac at this stage mtasema hata mwamposa mchawi coz watu wanasema wanapona baada ya kwenda kwake...
Unaongea hivyo kirahisi kwamba ni mind game kwa sababu tu hujasoma mwenyewe hivyo vitu, hauna picha kamili ya hayo mambo yalivyo usingeongea hivyo kirahisi, hapo umetoka kusoma wikipedia upande mmoja unaona inatosha.

Sitaki kukulazimisha ubadili mitazamo ila nasikitika tu unavyojizui kujifunza zaidi kwa sababu ya kushikilia misimamo na kupinga vitu ambavyo hauelewi vikoje.

Fanya kuwa umeshasoma upande mmoja hebu jaribu tu kusoma na upande wa pili, naweza kukutumia hadi vitabu usome.
 
Back
Top Bottom