Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

🤣🤣🤣🤣🤣Acha kujikosha na matusi bac...Kama una hoja toa. Mi nakuelimisha uchawi haujawahi muendeleza mtu...🤣Kama uchawi upo sijui sumbawanga, kungekuwa Kama Johannesburg bas...🤣we leta simulizi zako za uongo na kweli sisi lazma tuzicrush
 
Kwahyo jamaa anatuaminisha kwamba yeye ni mzungu kasoma? [emoji1787][emoji1787]
Mi nashangaa mi sijasema mi mzungu. Kuna wabongo wengi huko Wana maisha Yao hawana fikra potofu..tatizo unakaa uswahilini ndo maana huwaoni mtaa mzima mkiskia mtu kafa mnafikiri kalogwa
 
Labda niliona halafu sikujua ni nini.... Mwenye Picha ya uchawi tafadhali....
Mfano wa picha ya mchawi hiyo hapo.Mama Onemo wa Congo alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 1900.Alikuwa na uwezo wa kuloga serikali.Viongozi wa waasi wa Congo walikuwa wanachukua dawa kwake ili wasipatwe na madhara.
 

Attachments

  • Mama Onema.PNG
    29.6 KB · Views: 10
Siwez jihangaisha kusoma upuuz, pili usifikiri kila aliye amini uchawi hana Elimu kama ww
 
Kama hutaki kusoma unategemea nisome vya kwako...[emoji4]umeishiwa hoja...we can't have a conversation.. nasubiria uje na point sawa
Basi naomba kwa story nayo leta humu usinitag plz
 
Ujuaji mwingi katika huu Uzi kama kitu huamini wewe why ulazimishe wengine wakuamini wewe Bora mkaa kimya
 
Nimekwambia uchawi wenyewe ni maarifa, nikikwambia unionyeshe sayansi utanionyeshe nini?
Pimbi huyo, eti anataka aoneshwe Uthibitisho Kwa kuandika humu ndani.

Sayansi yake yenyewe inahitaji mchakato wa kimaabara kujithibitisha, yeye anataka kuona nini sijui.

Ni limbukeni fulani hivi wa kuokotaokota stori za vijiweni.
 
Pimbi huyo, eti anataka aoneshwe Uthibitisho Kwa kuandika humu ndani.

Sayansi yake yenyewe inahitaji mchakato wa kimaabara kujithibitisha, yeye anataka kuona nini sijui.

Ni limbukeni fulani hivi wa kuokotaokota stori za vijiweni.
Anaangalia sana movies ndio zinamuharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…