Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Uzi umevamiwa na mabwabwa ya upinde nashauri tuyapuuze afu tuendelee na simulizi zetu.
Hauwezi kumuminisha mtu kitu kitu kisichoonekana na wakati hata jinsia yake anayoiona haiamini.
Tunavyoyajibu ndo tunayapa nguvu za kubishana maana yashazoea michambo vibarazani si unaona cheka zao hizo za michambo.
🤣🤣🤣🤣🤣Acha kujikosha na matusi bac...Kama una hoja toa. Mi nakuelimisha uchawi haujawahi muendeleza mtu...🤣Kama uchawi upo sijui sumbawanga, kungekuwa Kama Johannesburg bas...🤣we leta simulizi zako za uongo na kweli sisi lazma tuzicrush
 
Kwahyo jamaa anatuaminisha kwamba yeye ni mzungu kasoma? [emoji1787][emoji1787]
Mi nashangaa mi sijasema mi mzungu. Kuna wabongo wengi huko Wana maisha Yao hawana fikra potofu..tatizo unakaa uswahilini ndo maana huwaoni mtaa mzima mkiskia mtu kafa mnafikiri kalogwa
 
Labda niliona halafu sikujua ni nini.... Mwenye Picha ya uchawi tafadhali....
Mfano wa picha ya mchawi hiyo hapo.Mama Onemo wa Congo alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 1900.Alikuwa na uwezo wa kuloga serikali.Viongozi wa waasi wa Congo walikuwa wanachukua dawa kwake ili wasipatwe na madhara.
 

Attachments

  • Mama Onema.PNG
    Mama Onema.PNG
    29.6 KB · Views: 10
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unaona ni uchawi coz huna elimu. Kuna effect ya jamii pia. Mfano Mimi sijawahi ona uchawi because
1. Nazungukwa na jamii ambayo inajielewa, ipo good upstairs na hawana shida ndogo za kumlaumu mjomba wao kawaloga
2. Kutokana na mazingira hayo, hata fikra za kichawi haziwezi kuja coz sio kitu ambacho umekuwa indoctrinated nacho na ndugu au marafiki.
3. So hata ikitokea issue tuseme sleep paralysis au hallucinations it's unlikely utaona kitu Cha ajabu Sana coz ur mind haijawa fed hayo mambo.
Sasa tofauti na nyie ni kwamba jamii zinazowazunguka mnaamini uchawi kutokana na ujinga na umaskini inapelekea akili yako ijenge images na ndo unakuta unaona hivi vitu..ila in reality havipo. Mi naongea very peaceful very educational lakini bado mtasema najaribu Uzi wenu. Ndo maana nikasema Kama Kuna mtu anadhani ametokewa na kitu so extraordinary ambacho hakipo limited to macho yake au ya rafiki yake tu bali everyone can see na anaweza prove kwamba ni ukweli na sio maruweruwe au story za kijiweni. Aje aseme. Ila nobody did...kila mtu anakuja na vitisho Mara Sali sana, Mara kua uone, Mara nenda mtaani, mwingine kijijini. Tupeni evidence tuwakubali, mbona jua lipo hatubishani, hata kipofu anajua jua lipo coz anahisi joto lake.
Siwez jihangaisha kusoma upuuz, pili usifikiri kila aliye amini uchawi hana Elimu kama ww
 
Ujuaji mwingi katika huu Uzi kama kitu huamini wewe why ulazimishe wengine wakuamini wewe Bora mkaa kimya
 
Nimekwambia uchawi wenyewe ni maarifa, nikikwambia unionyeshe sayansi utanionyeshe nini?
Pimbi huyo, eti anataka aoneshwe Uthibitisho Kwa kuandika humu ndani.

Sayansi yake yenyewe inahitaji mchakato wa kimaabara kujithibitisha, yeye anataka kuona nini sijui.

Ni limbukeni fulani hivi wa kuokotaokota stori za vijiweni.
 
Pimbi huyo, eti anataka aoneshwe Uthibitisho Kwa kuandika humu ndani.

Sayansi yake yenyewe inahitaji mchakato wa kimaabara kujithibitisha, yeye anataka kuona nini sijui.

Ni limbukeni fulani hivi wa kuokotaokota stori za vijiweni.
Anaangalia sana movies ndio zinamuharibu.
 
Back
Top Bottom