Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Bro, wife utakuwa umepigiwa...,ndo maana una sonona, we fuata instinct zako, chunguza vizuri hao watumishi unao wahisi hisi...
 
Ambacho hauelewi dogo ni kwamba kuna misimamo aina mbili kwamba kuna wenye kuona hakuna uchawi na wenye kuona uchawi upo, sasa tatizo lenu mnalazimisha wenzenu msimamo wenu kwa kutaka wasiamini uchawi bila kuwapa sababu za msingi, yani mnataka tu wafikirie ni hallucinations au coincidence tu ila wasiamini ni uchawi. Mnawaita hadi wajinga kwamba hawana elimu kisa tu wanaamini ambacho nyie mnakipinga.

Hapa watu wenye kuamini uchawi wanatoa visa vya matukio yenye kuhusishwa uchawi, inaweza kuwa katika hivyo visa sio vyote vilikuwa ni uchawi kama ambavyo wao walivyovitafsiri ila pia hauwezi kusema tu kuwa visa vyote sio uchawi kisa tu wewe haumini uchawi. Kama wewe una elimu na unajua hakuna uchawi basi ungeeleza basi kila kisa hapo si uchawi na ni kitu gani kitaalamu ila unakimbilia kwenye kudai uthibitisho ila wewe hauthibitishi hiyo elimu yako.
 
We si unaamini uchawi upo, na sitegemei uchawi uwe na limitations za mipaka au umri au elimu ya watu, nataka uyarushe mauchawi huku niyaone na Mimi...🤣kwani shida ni Nini...
Kwanza kabisa huwa mna akili ndogo sana kwa sababu mtu kuamini uchawi haina maana naye ni mchawi au ana huo ujuzi wa uchawi, kama ambavyo mtu akisema yeye anaamini sayansi sio lazima awe mwanasayansi au amesoma sana mambo ya sayansi, hili tuwekane sawa.

Hapa tunajadiliana kwa hoja kama watu wenye mitazamo tofauti ndio katika hili suala.
 
🤣Nimekuambia unirushie mauchawi yako huku...mbona ngumu...Sasa mi nisikilize story ngapi, mi siamini kwa story story
Ila wewe ndio unataka sisi tuamini unachosema wewe? Hakuna aliyekulazimisha kuja kusikiliza hizi story, we umekuja humu na hiyo misimamo yako na unataka watu waache wanachokiamini na kufuata hiyo misimamo yako ndio tatizo lilipo.
 
Hizi nazi njia panda nimezitafuna sana. Enzi hizo life gumu sana inapita siku hujala hivyo ukikutana na nazi imevunjwa na bado mbichi basi unamshukuru Mungu.

Nakumbuka siku moja nimeokata nazi ilikuwa na sindano pembezoni, kijitambaa cheusi na miambili ya noti. Mara akaibuka mdada ananikoromea ’we mtoto hacha huo uchafu’ nikaona isiwe so, nikaachana navyo mara nageuka nyuma namwona huyo mdada anavirudishia kama nilivyovikuta.
 
🤣Unahitaji maabara ulione jua...🤣Kuna many forms of research bana experimentation is just one of them.. Rudi form 4 geography
Wewe ni Kituko sana, kwahiyo kuliona jua kunakupa uthibitisho gani wa kisayansi kuhusu mechanism ya jua labda?

Baki na Geography ya Form Four.
 
Nimesema ni hallucinations...Sasa Kama we hutaki hio sababu kwa sababu babu yako aliamini uchawi na we uamini, mi Sina msaada na wewe.
 
Bac Baki nao kichwani, usinitishe. Maana mtu anakuja Kuniambia hoo Mara tulia upigwe kizito Mara sijui kia uyaone, mtu haji na hoja yoyote. Mara matusi sijui shoga sijui nipo mjini (mtu hata hajui nipo wapi). Ndo maana nasema Kama uchawi upo, ungekuwa open kwa kila mtu. Lakini surprise ni kwamba ni watu wachache wenye qualities fulani(wajinga au maskini au waliokua katika jamii za kishirikina) ndo wanaamini hivyo vitu. Ila mtu wa kawaida hawezi ona uchawi hata iweje, why. Coz haupo
 
Ila wewe ndio unataka sisi tuamini unachosema wewe? Hakuna aliyekulazimisha kuja kusikiliza hizi story, we umekuja humu na hiyo misimamo yako na unataka watu waache wanachokiamini na kufuata hiyo misimamo yako ndio tatizo lilipo.
Mimi staki mtu yoyote anifate Mimi. Misimamo yangu hauijui. Kuna tamaduni hazina msaada na zinaendelea kupumbaza watanzania. Jamii nyingi ambazo zinaamini uchawi hazijaendelea..hili we mwenyewe unaona..Kuna mtu kasema hapa uchawi ni chanzo Cha upumbavu na umaskini. We unaweza uamini uchawi upo sawa amini, ila unapohusisha na maisha yako...unakuwa tu mtu wa kutafuta kitu Cha kulaumu badala ya kusolve matatizo yako. Imagine wenzetu kila kitu wangesema ni uchawi, unadhani wangevumbua ndege, rockets, satellite etc. Si wangetumia ungo Kama mnavyosema, au kupotea na kutokea sehemu nyingine. Tuweni tu wa kweli katika Hili bana
 
Matatizo ya kichawi yapo na watu wanaenda sehemu husika kuyatatua na maisha yanaendelea, wewe endelea kuzungumzia upande wa habari za hallucinations na waganga matapeli.
🤣Si ndo hivyo...yaani mkiyatatua mnasema ni kweli, mkishindwa mnaita waganga matapeli. Hamna mganga tapeli wote wanabahatisha tu...ule ni utapeli Kama wa mwamposa tu. Kujaribu kutengeneza hela kupitia ujinga wa watu
 
Sasa kweli tutaendelea Kama jamii yetu ipo hivi
 
Wewe ni Kituko sana, kwahiyo kuliona jua kunakupa uthibitisho gani wa kisayansi kuhusu mechanism ya jua labda?

Baki na Geography ya Form Four.
🤣Si lipo ..watu waliyofanya research zaidi wamepata details zake kuhusu ukubwa, joto, etc. Sasa nani amefanya research akaona uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…