Mwanzo nilisema Kuwa kwa Bahati Mbaya au Nzuri kwa aina ya wapumbavu kama wewe ni ngumu sana kukutana na vitu kama hivi lakin siku ukikutana nacho hutoleta ujinga wako hapa, mbaya zaidi hivi vitu vipo Rohoni zaidi au gizani n ngumu kuonekana kwa macho ya damu na nyama (physical appearance) huwez viona so mpaka uwe kiroho zaidi au ulimwengu mwingine ndo unaweza viona. Kwa mjibu wa kitabu Changu Cha Dini japokua hukiamini kinaniambia Kuwa Giza na nuru haviwez Kuwa pamoja, pia kinasema Kuwa vitu vya Rohoni na Mwili haviwez Kuwa pamoja japokua kwenye function vinaweza kutana maana mataokeo ya kiroho yanweza pelekea negative effect kimwili hivyo hivyo pia kiroho vece versa
Kwaiy hapa utabisha kwa sababu haijawai kukutokea na hivi vitu vinaweza kukutokea kwa aina mbili positive or negative, kwa upande negative ndo unaona mtu anarogwa au mtu ghafura anakufa pasipo na sababu ya maana,. Kwa positive itakutokea tu then it's disappear mfano kama hapo unaendesha gari unakutana nao hawakufanyi kitu,.
Nikushauri kitu Kuna baadhi ya Mambo ambayo ni Ngumu kuonekana kwa Binadamu Dunia Ina Mambo mengi sana na ni machache ambayo Binadamu anayajua sidhan hata Asilimia 25 imefika ambayo binadamua anaijua Duniani,, kama kweli wewe ni mtu ambaye huamini hivi vitu vya kiuchwai,,,,, Basi jaribu kwenda kiroho zaidi nakuhakikishia haya Mambo utakutana nayo
Hata huko Marekani wanakutana na Aliens usjie fikiri ni viumbe wa ajabu no ni haya majini tu kama Huku Africa tunayo kutana nayo.
Kuhusu utajiri wengi wanajipatia utajiri kupitia Imani za kishirikina mojawapo ni kama unavyo sikia Freemason pamoja na kutoa makafara ya ajabu Ili mtu apate utajiri
Note: siyo wote ila wengi wao ni aina hiyo
Sorry kwa maelezo mengi lakin pia huna unalojua