Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Tarehe 10/07/2023 asubuhi ya saa moja na dakika kadaa watoto wangu wawili darasa la sita na mwingine la kwanza, walianza kupiga kelele kama kushangaa. Kitendo kilichokera mama yao na mimi pia. Kutoka wananionesha bundi aliye kuwa akidodoka kutokea juu ya bati/ paa ya nyumba yangu. Alipo fika chini alionekana amekufa miguu juu yaani alikufa akiwa chali. Hivyo nikaishia kushangaa tu. Nikawaelekeza watoto wasimwambie mtu yeyote tendo lile. Mwezi mmoja nyuma njiwa poli alikutwa amekufa upenyuni mwa nyumba yangu kubwa amabayo imebakia marumaru na baadhi ya vitu ikamilike. Nilichunguza nikagundua njiwa alijigonga kwenye alminium/ kioo cha dirisha akafa. Sikujali ila niliwaelekeza pia watoto wasiongelee lile tukio.

Sasa huyu bundi baada ya kuonekana amekufa nikarudi ndani kuoga na kujiandaa ili tuelekee kazini na watoto waelekee shule. Sasa mke wangu ana mtoto mwingine wa tatu mwaka mmoja na miezi miwili. Tumemuajiri binti wa jirani anakuja kumchukua na kushinda naye halafu mke wangu anamchukua anapotoka kazini mida ya saa tisa au kumi jioni.
Hivyo alikuja kumchukua mtoto kama ilivyo ada. Kwa kuwa niliwataka watu wasijue mke wangu alipo sikia kengele ina gonga akaniambia yule binti atakuwa ameijia mtoto kwa hiyo nikamtoe yule bundi ili asione ikajulikana kwa kuwa nimeamua iwe siri yetu.

Kweli nilitoka nikamtupe nje ya fensi. Cha kushangaza nilipo msogelea akainuka kama anataka kuruka. Nikachukua fimbo ya ufagio wa ndani nikampiga nayo kwa nguvu mara moja tu akaonekana amekufa. Nikashika bawa lake moja na kumrusha nje ya fensi. Nikaondoka kazini kama kawa.

Kilichofuata mida ya saa nne asubuhi kulitokea kutoelewana na mke wangu kwa kiasi kikubwa na kila nikielezea sababu ya ugonvi huo ndugu wananishangaa kuonesha eti mimi ndiyo mwenye makosa. Ila kiukweli toka hiyo siku sijisikii kumkubali wife hii hali napambana nayo kwa kiasi kikubwa na ninaona speed yangu ya kufanikisha malengo yangu inapungua sana na ninakosa ule umotomoto wa hamasa ya maendeleo kutokana na chuki kwa wife. Hata leo nimeamka na hali ya kutompenda wife, bila sababu ya msingi kwa kukelwa na kosa alilotenda siku hiyo nashindwa kusamehe, japo alikosea sharti langu la kumtaka asiwe anapakizwa na watumishi wenzie wa kiume sipendi na ndicho alifanya. Japo alieleza sababu ya kutenda vile nimekuwa mzito kusamehe.

Sasa wanajamii forum niwaulize sababu ni huyu bundi au ni nini? Hali yangu kwa sasa nimbaya kutokana na sonona takribani mwezi huu wote siko sawa kabisa. Najisikia kukata tamaa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Acha kujikosha na matusi bac...Kama una hoja toa. Mi nakuelimisha uchawi haujawahi muendeleza mtu...🤣Kama uchawi upo sijui sumbawanga, kungekuwa Kama Johannesburg bas...🤣we leta simulizi zako za uongo na kweli sisi lazma tuzicrush
Hii sio mada kuhusu maendeleo yanayoletwa na uchawi ni kuhusu visa vya ajabu ambavyo vimewahi kumtokea mtu, sasa hayo maendeleo yanakujaje.
Hapa dogo tunasimuliana visa tu unadivert mada eti uchawi haujawahi kumletea mtu maendeleo, kwa hiyo kwa akili yako wanaosimulia hivyo visa unadhani wanategemea uchawi kutafuta maendeleo.
Mi ninajua kuwa uchawi upo lakini sijawahi hata kukanyaga kwa mganga na sitegemei kufanya hivyo my inner power is enough to conquer all dark entities pamoja na hilo haibadilishi ukweli kwamba uchawi upo.
Yaani kumbe upo nje ya topic afu unakaza fuvu kubisha na kujichekesha, tunakuomba uache kurukia comment za watu, we usiyejua haya mambo nenda jukwaa la intelijensia ukacomment kwenye mada za kisayansi hapa tuachie tunaojua visanga tulivyowahi kukutana navyo hapakuhusu period
 
Pole sana before kuelekea kwenye mambo mengine jaribu chumvi ya mawe inasaidia sana,sijui kama unafahamu matumizi yake
 
Eti unanielimisha kwa elimu gani uliyonayo we mtumwa wa fikra, hao mabwana wako wazungu wenyewe sijui pschologist, psychiatrists siwasikilizi pumba zao wala sisomi vitabu vyao kiufupi hawana somo la kunielimisha ndo ije wewe kibaraka, mtumwa brainwashed negropean, eti unielimishe.
Unasema wanaoona hivi vitu ni vichaa wanaona maluweluwe sasa unaanzaje kuwaelimisha vichaa kama we sio kichaa zaidi yao. We dogo utakuwa sio riziki maana hata ushoga ni mental illness.
 
Pole sana before kuelekea kwenye mambo mengine jaribu chumvi ya mawe inasaidia sana,sijui kama unafahamu matumizi yake
Niliwahi kutumia hii kwangu, kuchoma na kimwaga. Hiyo sehemu ilikuwa kila mara bundi wanasogea na kusumbua, mtu aliyekuwa anaishi pale alikuwa hapati usingizi. Mwezi wa 4 huu, bundi hawajai kusogea tena, jamaa analala vizuri na lepe la usingizi.
 
Pole sana before kuelekea kwenye mambo mengine jaribu chumvi ya mawe inasaidia sana,sijui kama unafahamu matumizi yake
Asante. Sijui matumizi yake, lakini pia sijawahi kujikinga kwa namna yoyote ile. Naishi kama mtoto wa Mungu. Je niamini kuna ushirikina katika hili?
 
🤣🤣🤣Upande wa pili ni Nini, astrology ni pseudoscience, hio sijui psychic reading ni pseudoscience, elewa bac. Unajua maana ya pseudoscience kwanza
Inaonyesha hata hauelewi kuhusu psychic reading ni nini ndio mara ya kwanza kusikia hicho kitu halafu cha kusikitisha unalazimisha kubisha tu huku hujui, acha niendelee kukufungua.

Hizi ni baadhi tu ya Psychic abilities ambazo hutumika kwenye psychic reading: Psychometry,Clairvoyant,Clairrecognizance,Clairaudience.
 
Mi nashangaa mi sijasema mi mzungu. Kuna wabongo wengi huko Wana maisha Yao hawana fikra potofu..tatizo unakaa uswahilini ndo maana huwaoni mtaa mzima mkiskia mtu kafa mnafikiri kalogwa
Hayo mawazo yako tu ila huku uswahilini hakujawahi kukosa hospitali hazijawahi kukosa wagonjwa kisa watu wanaamini kurogwa.
 
Hii sio mada kuhusu maendeleo yanayoletwa na uchawi ni kuhusu visa vya ajabu ambavyo vimewahi kumtokea mtu, sasa hayo maendeleo yanakujaje.
Hapa dogo tunasimuliana visa tu unadivert mada eti uchawi haujawahi kumletea mtu maendeleo, kwa hiyo kwa akili yako wanaosimulia hivyo visa unadhani wanategemea uchawi kutafuta maendeleo.
Mi ninajua kuwa uchawi upo lakini sijawahi hata kukanyaga kwa mganga na sitegemei kufanya hivyo my inner power is enough to conquer all dark entities pamoja na hilo haibadilishi ukweli kwamba uchawi upo.
Yaani kumbe upo nje ya topic afu unakaza fuvu kubisha na kujichekesha, tunakuomba uache kurukia comment za watu, we usiyejua haya mambo nenda jukwaa la intelijensia ukacomment kwenye mada za kisayansi hapa tuachie tunaojua visanga tulivyowahi kukutana navyo hapakuhusu period
Anakera sana huyu jamaa pamoja na wenzake,amejikita hapa kwa watu wenye imani potofu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]badala aende kwenye majukwaa ya sayansi huko wakajadiliane namna ya kufika mars,yeye kakaza fuvu mara uchawi haupo z z z z kwani kuna mtu kamlazimisha aamini uchawi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We unaona ni uchawi coz huna elimu. Kuna effect ya jamii pia. Mfano Mimi sijawahi ona uchawi because
1. Nazungukwa na jamii ambayo inajielewa, ipo good upstairs na hawana shida ndogo za kumlaumu mjomba wao kawaloga
2. Kutokana na mazingira hayo, hata fikra za kichawi haziwezi kuja coz sio kitu ambacho umekuwa indoctrinated nacho na ndugu au marafiki.
3. So hata ikitokea issue tuseme sleep paralysis au hallucinations it's unlikely utaona kitu Cha ajabu Sana coz ur mind haijawa fed hayo mambo.
Sasa tofauti na nyie ni kwamba jamii zinazowazunguka mnaamini uchawi kutokana na ujinga na umaskini inapelekea akili yako ijenge images na ndo unakuta unaona hivi vitu..ila in reality havipo. Mi naongea very peaceful very educational lakini bado mtasema najaribu Uzi wenu. Ndo maana nikasema Kama Kuna mtu anadhani ametokewa na kitu so extraordinary ambacho hakipo limited to macho yake au ya rafiki yake tu bali everyone can see na anaweza prove kwamba ni ukweli na sio maruweruwe au story za kijiweni. Aje aseme. Ila nobody did...kila mtu anakuja na vitisho Mara Sali sana, Mara kua uone, Mara nenda mtaani, mwingine kijijini. Tupeni evidence tuwakubali, mbona jua lipo hatubishani, hata kipofu anajua jua lipo coz anahisi joto lake.
Nenda jukwaa la sayansi huko ,mkajadiri namna ya gunduzi mbali mbali mpya,msomi kama wewe unajadiri uchawi hapa !!! huoni huo kuwa ni upumbavu kwa elimu yako,
 
Nashangaa sijui lisomi la wapi linashindwa kwenda kujadili Artificial Intelligence za kuwafanya binadamu wasitumie tena ubongo mpaka ulemae, limekazana kupambana na watu wasiomuhusu sijui lintafuta nini bwege hili.
 
Kama uchawi upo sijui sumbawanga, kungekuwa Kama Johannesburg bas
Aliyekwambia uchawi unaleta maendeleo ni nani? You're such an ignorant fool.

Kwa taarifa yako uchawi unaleta umaskini, tena umaskini uliokithiri.
 
Tarehe 10/07/2023 asubuhi ya saa moja na dakika kadaa watoto wangu wawili darasa la sita na mwingine la kwanza, walianza kupiga kelele kama kushangaa. Kitendo kilichokera mama yao na mimi pia. Kutoka wananionesha bundi aliye kuwa akidodoka kutokea juu ya bati/ paa ya nyumba yangu. Alipo fika chini alionekana amekufa miguu juu yaani alikufa akiwa chali. Hivyo nikaishia kushangaa tu. Nikawaelekeza watoto wasimwambie mtu yeyote tendo lile. Mwezi mmoja nyuma njiwa poli alikutwa amekufa upenyuni mwa nyumba yangu kubwa amabayo imebakia marumaru na baadhi ya vitu ikamilike. Nilichunguza nikagundua njiwa alijigonga kwenye alminium/ kioo cha dirisha akafa. Sikujali ila niliwaelekeza pia watoto wasiongelee lile tukio.

Sasa huyu bundi baada ya kuonekana amekufa nikarudi ndani kuoga na kujiandaa ili tuelekee kazini na watoto waelekee shule. Sasa mke wangu ana mtoto mwingine wa tatu mwaka mmoja na miezi miwili. Tumemuajiri binti wa jirani anakuja kumchukua na kushinda naye halafu mke wangu anamchukua anapotoka kazini mida ya saa tisa au kumi jioni.
Hivyo alikuja kumchukua mtoto kama ilivyo ada. Kwa kuwa niliwataka watu wasijue mke wangu alipo sikia kengele ina gonga akaniambia yule binti atakuwa ameijia mtoto kwa hiyo nikamtoe yule bundi ili asione ikajulikana kwa kuwa nimeamua iwe siri yetu.

Kweli nilitoka nikamtupe nje ya fensi. Cha kushangaza nilipo msogelea akainuka kama anataka kuruka. Nikachukua fimbo ya ufagio wa ndani nikampiga nayo kwa nguvu mara moja tu akaonekana amekufa. Nikashika bawa lake moja na kumrusha nje ya fensi. Nikaondoka kazini kama kawa.

Kilichofuata mida ya saa nne asubuhi kulitokea kutoelewana na mke wangu kwa kiasi kikubwa na kila nikielezea sababu ya ugonvi huo ndugu wananishangaa kuonesha eti mimi ndiyo mwenye makosa. Ila kiukweli toka hiyo siku sijisikii kumkubali wife hii hali napambana nayo kwa kiasi kikubwa na ninaona speed yangu ya kufanikisha malengo yangu inapungua sana na ninakosa ule umotomoto wa hamasa ya maendeleo kutokana na chuki kwa wife. Hata leo nimeamka na hali ya kutompenda wife, bila sababu ya msingi kwa kukelwa na kosa alilotenda siku hiyo nashindwa kusamehe, japo alikosea sharti langu la kumtaka asiwe anapakizwa na watumishi wenzie wa kiume sipendi na ndicho alifanya. Japo alieleza sababu ya kutenda vile nimekuwa mzito kusamehe.

Sasa wanajamii forum niwaulize sababu ni huyu bundi au ni nini? Hali yangu kwa sasa nimbaya kutokana na sonona takribani mwezi huu wote siko sawa kabisa. Najisikia kukata tamaa.
Bundi unamuoneaa tuuu shidaa HUMUAMINI MKEO UNAHISI UNALIWAA NA HAO WANAUMEE.. kama ameacha kupanda kwenye magari yao why usimsamehee.
 
Back
Top Bottom