Nje ya box
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 241
- 251
Mama alikuwa sahihi sana, sisi wanaume hatuna dogo sometimes tunafail ktk very little issues.mama aliniambia mengi ila ambalo sitalisahau na nalishuhudia kila kukicha ni hili.. "mwanaume siyo ndugu yako ni rafiki tu aweza kuwepo ama kuondoka usiache kumthamini ndugu kwa sababu ya rafiki"
live long mama.
Hapo kwny kunusa sasa,..yani nna kaugonjwa ka kunusa kila kitu kabla sijatumia,iwe chombo,nguo,chakula,na wakat mwingine nanusa bila kujijua1. Mwanamke anaekula njiani haolewi wanaume hawataki mwanamke anaekula hovyo
2. Usipende kunusa chakula utakatika pua.
3. Usikubali kubadili dini kwa sababu ya mwanaume
4. Soma sana uje kunisaidia mama yako.
Mama yangu ni zaidi ya mama kwangu kwani anaplay na role ya baba. Mpaka Leo naogopa kunusa chakula na nilisoma kwa bidii ili nisimdisappoint mama.
Ah... hiyo namba 2 ilishanigharimu.1. Mwanamke anaekula njiani haolewi wanaume hawataki mwanamke anaekula hovyo
2. Usipende kunusa chakula utakatika pua.
3. Usikubali kubadili dini kwa sababu ya mwanaume
4. Soma sana uje kunisaidia mama yako.
Mama yangu ni zaidi ya mama kwangu kwani anaplay na role ya baba. Mpaka Leo naogopa kunusa chakula na nilisoma kwa bidii ili nisimdisappoint mama.
Hahahahahaha hivi kwa nini tunazuiwa kunusa? Tatizo ni nini? Hata mama alikuwa anatuzuia kunusa chakula piaAh... hiyo namba 2 ilishanigharimu.
Miaka ya 97 nliwahi kunusa yai la kuchemshwa tukiwa safarini ndani ya Scandnavia. Mama alinifinya sana ktk bus na kunilamba kofi la uso. Akasema "nakukataza kila siku vitabia vya ovyo" urudie!.
Ana kadi ya TANU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni mama wa M4C [emoji23][emoji23][emoji23]
Ah... sijajua sababu lakini naasume kuwa wanafeel bad pale wanapokuwa wamekiamini kitu, halafu tunakosa imani nao.Hahahahahaha hivi kwa nini tunazuiwa kunusa? Tatizo ni nini? Hata mama alikuwa anatuzuia kunusa chakula pia
hahaaaaaaa ngoja nishibe nakujibuNi kweli ulikitunza na mpaka leo hakuna aliyewahi kukishika? [emoji12]
Faiza natamani uwe Mkwe wangu.... Nipe mwanao nioe.
Nipe hata nduguyo nipo tayari kusilimuUmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.