Kitu gani unachokumbuka ambacho mama yako alikuonya ukiwa mtoto na mpaka leo hukisahau?

Kitu gani unachokumbuka ambacho mama yako alikuonya ukiwa mtoto na mpaka leo hukisahau?

Kumuweka Mwenyezi mungu mbele and elimu ndio mpango mzima
Na matunda nayaona hata watoto wangu wanajua mungu na elimu ni muhimu kwenye maisha yao
Ahsante mama live longer
 
mama aliniambia mengi ila ambalo sitalisahau na nalishuhudia kila kukicha ni hili.. "mwanaume siyo ndugu yako ni rafiki tu aweza kuwepo ama kuondoka usiache kumthamini ndugu kwa sababu ya rafiki"
live long mama.
Mama alikuwa sahihi sana, sisi wanaume hatuna dogo sometimes tunafail ktk very little issues.
But all we need is to respect and adore what mothers used to tell us.
 
1. Mwanamke anaekula njiani haolewi wanaume hawataki mwanamke anaekula hovyo

2. Usipende kunusa chakula utakatika pua.

3. Usikubali kubadili dini kwa sababu ya mwanaume

4. Soma sana uje kunisaidia mama yako.

Mama yangu ni zaidi ya mama kwangu kwani anaplay na role ya baba. Mpaka Leo naogopa kunusa chakula na nilisoma kwa bidii ili nisimdisappoint mama.
Hapo kwny kunusa sasa,..yani nna kaugonjwa ka kunusa kila kitu kabla sijatumia,iwe chombo,nguo,chakula,na wakat mwingine nanusa bila kujijua
 
1. Mwanamke anaekula njiani haolewi wanaume hawataki mwanamke anaekula hovyo

2. Usipende kunusa chakula utakatika pua.

3. Usikubali kubadili dini kwa sababu ya mwanaume

4. Soma sana uje kunisaidia mama yako.

Mama yangu ni zaidi ya mama kwangu kwani anaplay na role ya baba. Mpaka Leo naogopa kunusa chakula na nilisoma kwa bidii ili nisimdisappoint mama.
Ah... hiyo namba 2 ilishanigharimu.
Miaka ya 97 nliwahi kunusa yai la kuchemshwa tukiwa safarini ndani ya Scandnavia. Mama alinifinya sana ktk bus na kunilamba kofi la uso. Akasema "nakukataza kila siku vitabia vya ovyo" urudie!.
 
Hahahahahaha hivi kwa nini tunazuiwa kunusa? Tatizo ni nini? Hata mama alikuwa anatuzuia kunusa chakula pia
 
Hahahahahaha hivi kwa nini tunazuiwa kunusa? Tatizo ni nini? Hata mama alikuwa anatuzuia kunusa chakula pia
Ah... sijajua sababu lakini naasume kuwa wanafeel bad pale wanapokuwa wamekiamini kitu, halafu tunakosa imani nao.
 
Back
Top Bottom