Kitu gani unachokumbuka ambacho mama yako alikuonya ukiwa mtoto na mpaka leo hukisahau?

Kitu gani unachokumbuka ambacho mama yako alikuonya ukiwa mtoto na mpaka leo hukisahau?

Nipe hata nduguyo nipo tayari kusilimu

Watu hawasilimu kwa kuoa.

Salim kwa maana ya kusilimu, kujisalimisha kwa Mola wako aliyekuumba siyo kwa Paulo, Siyo kwa Yesu Alayhi Salaam, Siyo kwa Muhammad sala Allahu Alayhi Wasalam.
 
Watu hawasilimu kwa kuoa.

Salim kwa maana ya kusilimu, kujisalimisha kwa Mola wako aliyekuumba siyo kwa Paulo, Siyo kwa Yesu, Siyo kwa Muhammad.
Yesu si ndiye Mungu wetu mkuu?
 
Huu uzi utaliza watu na ninaweza kujikuta mmojawapo......mi mama alinambia nisideke sana maana akifa ctazikwa nae!!!! R.I.P mama
Oh pole sana! Usilie...you should be proud of her...hata kama ameshafariki!

She left u wid brains! Bila shaka unaona namna ambavyo umeweza kupambana mwenyewe bila uwepo wake. Otherwise deko lingekumaliza asee
 
Kuchelewa kurud nyumbani, alikuwa anafinya masikio, Ni nani.... alikwambia... urudi usiku nyumbani.? Tabia ni kama ngozi aisee siku hiz nipo Huru ghetto narud usiku mshale unasoma AM. Night kali.

Kiukwel kutembea usiku sana sio jambo jema, hasa kama una drive Kuna mengi sana yana happen njiani. Assume umepata brake down. Au unakuta na na walio kazin.
Usiogope Mkuu, walio kazini kama wewe sio lengo lao hawakufanyi kitu, wakiona mwanga wa gari wanageuza uso wao au wanajificha pembeni ukipita wanaendelea na safari. Wakiku-tagert watakufuata hata nyumbani kwako mida ya saa mbili wakati unaangalia taarifa ya habari kupitia kituo cha runinga cha ITV.
 
"dunia hadaa ulimwengu shujaa"

Mama yako ni mhenga!??

'Nikuambie kitu mwanangu, acha pombe'

36109.jpg
 
Alinambia nisimpige mwanamke pia alinambia kabla ya kwenda mbele za watu niwe nachana nywele...kitu kingine nilivokua mdogo kipinde kile cha wakimbizi wa Rwanda na Burundi waliokuja Tanzania kwa ajiri ya kujihifadhi tulikutana na jamaa mmoja akanambia "unamuona huyo mwanaume..ni Mwanasheria wa unhcr ntafurahi Siku nikimpata Mwanasheria ambae ni mwanangu..."nilijisemea moyoni IPO Siku ntamfurahisha mama.and here iam iam a lawyer nilitimiza ndoto za mama.
na za kwako utatimiza lini mkuu?
 
Eh mama alikua mkali sana kwangu kipindi nakua jmn dah,nmejifunza mengi shukrani kwake ila walau angenifanyia wepesi na mafunzo yale looh..
 
Nilikuwa napenda msosi hakuna maelezo hata plate 3 namaliza kabisa.
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] mama akakudhibiti? Sasa hivi unakula plate ngapi mkuu? [emoji23]
 
Nilikuwa mtukutu sana baada ya kutoka shule mm ni mtaan tu, siku mama aliongea sana akasema ww si huniheshimu mm nitakufa utaenda kuishi na mtu mwingine ndio utamuheshimu dah machozi yalinitoka mpaka kesho adabu kwa mazaa
 
Mama yangu alisihi sana niishi na watu vizuri, kumheshimu kila mtu maana sijui kesho itakuaje.

Nisiwe nachelewa kurudi nyumbani.

Nikiondoka nyumbani niseme naenda wapi na nitarudi sangapi kama nikichelewa nitoe taarifa.

Soma sana mwanangu usiposoma utakua na maisha magumu.

Finally, alinambia nikiendekeza wasichana au kuwa karibu nao nitafail.

Namshukru sana mama yangu.
 
Mama yangu alikua anachukia uongo kiasi kwamba anaweza akakupiga mpaka anang'ata na meno ,kuja kugundua kwamba ukimwambia ukweli hakupigi ilikua too late nishachezea kichapo sana ,basi bana nikaanza kumwambia ukweli anakua mpole ila vimaneno havikosekani ,swala lingine ni kutandika kitanda na kufua nguo zangu ,hili mpaka leo nalifanya.akanifundisha niwe na hofu ya Mungu na moyo wa huruma japo utaumia kwa mengi ila thawabu yake ni kubwa
Pia alinihusia ni ishike sana elimu nisimwache aende zake ,

She taught me how to be a gentleman
 
Back
Top Bottom