Kitu gani unajutia kufanya maishani?

Kitu gani unajutia kufanya maishani?

Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako.

Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa nimesha ajiriwa au kupiga hatua kwa namna moja au nyingine kielimu kuliko kukaa na vyeti vya Bachelor ndani na ajira hakuna.

Ni jambo gani unajutia maishani?
Embu fafanua hii ya kuanza kusoma cert nini advantage yake ukilinganisha na kuanza Degree ukitokea Form 6
 
Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Du Masters + Jobless=what?
 
Kufanya ngono na mwanamke ambaye sijui ni yupi katika wale kadhaa niliowatembelea aliyenifanya niwe na hii hali niliyo nayo leo
 
Kila mwanaume anajutia:
cc06065a5e12233bf687f37c1099d142.jpg
 
Kwa Sasa siwezi kuandika
Ila Nina maumivu na jeraha la moyo since 2023 November update

Hili jambo limenifanya nione kifo kwangu is the best option

But all in all mapenzi ya Mungu yatimie kwangu kama atakavyo yeye
 
pole sana mkuu , lakini kaza moyo yatapita.. ... kila jambo na wakati wake!
 
Kwa Sasa siwezi kuandika
Ila Nina maumivu na jeraha la moyo since 2023 November update

Hili jambo limenifanya nione kifo kwangu is the best option

But all in all mapenzi ya Mungu yatimie kwangu kama atakavyo yeye
Piga moyo konde
 
Back
Top Bottom