Hiyo hatari sanaNiliwahi kutoa kucha ya dole gumba baada ya kukosea timing ya kupiga ule mpira. Niliificha home wasijue hadi kidole kikatoa ufunza, dawa ilikuwa ni mchanga tu hadi kucha mpya ikarudi.
Mwenye mpira ndiye hatakiwi kukwazwa, maana anaweza kuuchukua, alafu asiondoke akabaki hapohapo na nyie hamna cha kumfanya
Ulikuwa unapigia dochi Hata Mimi nimetoa sana kisa madochiNiliwahi kutoa kucha ya dole gumba baada ya kukosea timing ya kupiga ule mpira. Niliificha home wasijue hadi kidole kikatoa ufunza, dawa ilikuwa ni mchanga tu hadi kucha mpya ikarudi.
Mwenye mpira ndiye hatakiwi kukwazwa, maana anaweza kuuchukua, alafu asiondoke akabaki hapohapo na nyie hamna cha kumfanya
Zubaisha bwege ukipigwa tobo unautafiuta Mara mbiliKuna mchezo tulikua tunaucheza unaitwa "Angaisha bwege" hapa mnaweza mkawa kundi hadi watu kumi halafu akachaguliwa mmoja kua awe bwege wa kutafuta mpira katika wale tisa,
ilikua ni jipu kwangu yani kila time bwege nakua mimi halafu huo mpira kuupata kwake ni msoto
Tukija kwenye "kaokote" huu ulikua mchezo wa kurusha mpira halafu mwenzako anapiga utapoenda kutua unatakiwa uufate ukauokote halafu umrushie tena, hapa victim anayepata shida ni yule mrushaji na ili aepukane na hiyo shida inatakiwa akirusha mpira yule jamaa anayepaswa kuupiga aupige halafu kabla hujatu chini nawe uupige. Hapo adhabu inaendwa kwake anaanza yeye kurusha halafu wewe unakua m-butuaji
aah yani hapa napo ilikua ni adhabu kwangu maana kulikua na lijamaa hilo linamashuti ukirusha tu mpira linaupigia mbali usawa wa mita mia yani ile angle ya kusalimika kwa kupiga mpira huipati
Hahaha! Mimi nilitoa kucha ya dole gumba la kulia kama mara tatu hivi hadi nakua.
Nakumbuka zile ligi zawadi zilikuwa ndogo mkiibuka mambingwa,,Mi nakumbuka matukio kadhaa.
• Kwanza mwenye mpira lazima awe mshambuliaji namba 9
• Ukiwa bonge lazima uwe kipa
• Refa akikupa kadi anakuvunjia kipande kabisa cha plastiki ya njano anakupa ukae nacho
• Mwenye mpira hata akipiga nnje akikomaa kwamba ni goli hamna kipingamizi
Wewe unakumbuka nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaNakumbuka zile ligi zawadi zilikuwa ndogo mkiibuka mambingwa,,
Ila cha ajabu mko radhi hata kuvunjana miguu,, dah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkifungwa mnaanza kupunguza magoli
Uko vizuri uleMpka sas bado nacheza nikipata nafas na vijana wenzangu huwa tunaitana tunatifuana sema ule mpira n mtamu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi leo naona madogo wakifungana wanaanza kujipunguzia magoli😂😂Mkifungwa mnaanza kupunguza magoli
Yes mkuu