KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,460
Reaction score
2,278
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
 
Mkuu,una uhakika hauna malaria?
 
Mkuu,una uhakika hauna malaria?
hata nikisema utaniaminije? ila ikitukia itakuwa sio malaria tena kwa kuwa hakuna kitu kikubwa kama kujitambua KNOW THY SELF
KABLA HUJAENDA HATA MSIKITINI AU KANISANI ANZA KUJITAMBUA MENGINE YATAKUWA YATAKUJA KWAKO KWA KUFUATA NGUVU ULIYOITAMBUA NDANI YAKO
 
Siamini kama umefoka hivyo!
 
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
Kuna Siri kubwa sana kati ya tamaa za mwili na uhuru wa kiroho, hakuna atakae nielewa,,,,,mtaishia tu kusema ahaa !hakuna mkate mgumu kwa chai😂😂
 
Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
Mwamposa ni mwizi na Tapeli
 
Kwamba Yesu alisharudi na kuondoka sasa tuko majira ya Muumba mwenywe ambae anaishi ndani yetu sote. Umilele ni hapa hapa juu ya nchi sio mawinguni kama wengu walivyofundishwa.
 
nikiwaambia NRNE ni ya watz wote wao wanakaza fuvu ila wacha tuone
 
Back
Top Bottom