KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo
Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu
nikisema wakristo wanadanganya kuwa messiah atashuka na mawingu je Yesu kristo alivyokuja si alizaliwa kwa nini huyu ashuke na mawingu na kila jicho limuone ukisema hapana Atazaliwa wewe unaitwa demons sijui pepo
okay Je wewe una Yapi ukiwaambia humu watu hawatakuelewa watajua umelogwa au poyoyo au kipofu [ kuna mambo yako hata kama una elimu ukitumia elimu yako hutayajua unajifanya umesoma dini kuna mambo kama UPENDO dini hazijui wala watoke waseme wanajuaje nini maana ya Upendo]
DINI NI UPUUZI NA UTUMWA WA KIWANGO CHA JUU SANA KWA MTU/BINADAMU
 
Kwamba nimezipata hela bila ndagu

Hata uwaambie nini ni kama unawapigia Gita Mbuzi.
 
Wasiende kupiga kura wala wasiwatusi hao jamaa kukaa kimya ni jibu zuri kwa mjinga.
lkn watu hawaelewiiiiiii!!!!!!!
 
Ufufuko ni mchongo tu! Si kweli. Watu hawaamini maneno hayo kutoka kinywani mwangu na nilivyokuwa mkatoliki wa kuaminika.
 
Nawaambiwa watu ukizaliwa tanzania unakuwa umelaaniwa
 
Back
Top Bottom